Kuna mwanangu mmoja kutokea ROMBO kaoa Manzi ya hukohuko ROMBO.
Ni Bro Kwa heshima miaka 26+,jamaa ni mrithi wa kampuni X ya baba ake.
Miaka kadhaa baada ya kifo Cha baba ake alirudi kijijin alipozaliwa Baba ake kwaajili ya kutafuta mwanamke wa kuishi nae.
Rais wa Namibia Nandi-Ndaitwah;
1. Anajenga viwanja 7 vya soka
2.Ametangaza Elimu bure Chuo Kikuu
3. Amepunguza Wizara kutoka 21 hadi 14
4.Amepunguza Manaibu waziri toka 21 hadi 7
5.Amefuta madeni ya mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo
6. Anajenga nyumba 5000 kwa watu wenye vipato duni
BOMA
Kipengele A
Hesabu ya msingi na mkanda
-Tofali 1500
-Cement 28
-Nondo 20
-Mbao za kukodisha 70
-Mbao 2by2 7
-Msumali kg 5
-Ring pembe 3 150
-Bydingwire kg 2
JINSI 7 YA KUFANYA MEDITATION (TAHAJUDI):
UZI 🧵
-Msongo ni kitu kisichozuilika kwa sasa haijalishi una umri gani, njia pekee ya kuyatoa ni kufanya Meditation.
-Meditation ni ujuzi kubadilika sio tu kuipumzisha akili Bali pia kujijua mwenyewe na kuijenga thamani yako usiyoijua kiroho.
-Kuna nguvu kubwa kwenye meditation. Nitakwambia.
Bro, naheshimu sana medical practitioners... ila ukiangalia hizo dawa kwenye box‐zote ni antiacid
Hizo dawa za piki na hizo za rangi 2- zote ni antibiotic
Kuna hizo Omeprezole na Prantoprazole zote ni gastro-oesophageal reflux
Zote hizi nimeandikiwa siku 1 nizitumia kwa pamoja