@ms_tebbe kama hivyo sawa, maana kumekuwa mkwamo kwenye kesi za namna hiyo mwanamke anawaza itakuwaje mwanaume akienda jela mm nitaishije, watoto wataishi vipi basi anarudi nyuma.
@ms_tebbe Vp Dada yako atakuwa tayari mume wake akipatiwa haki yake mahamakani??,, Je vp dada yako anaonesha nia ya kweli kuona mume wake anapelekwa mahakamani??
🚨🔴⚪️ BREAKING: Bruno Guimarães to Arsenal, HERE WE GO! 🇧🇷
Agreement in place with Newcastle after long talks and personal terms in place with Bruno since July. Fee worth £75m.
New midfielder for Mikel Arteta. 🔜