PRAYER FOR TAL
Tundu Lissu is a leader who has often sacrificed for justice and democracy in Tanzania. Today, he faces heavy political challenges, including fabricated charges of โtreason.โ ๐๏ธ
Regardless of political differences, every human being enduring suffering deserves prayers and solidarity. We pray that Tundu Lissu finds peace of heart in the midst of this storm. ๐
The #Bible reminds us: โBlessed are those who hunger and thirst for righteousness, for they shall be filled.โ (Matthew 5:6) โ Lissu has carried this hunger for justice for our nation.
His trials are a reminder that politics should be a space for unity, not hostility. We pray for wisdom among all leaders, so that truth and justice stand above lies. โ๏ธ
Tanzania needs politics rooted in dignity, love, and reconciliation. Praying for Lissu today means praying for every Tanzanian who longs for a better tomorrow. ๐๐น๐ฟ
โLet the peace of Christ rule in your hearts.โ (Colossians 3:15) โ This is our prayer for Lissu, his family, and our beloved Tanzania.
We close this thread with a short prayer:
โO God of truth and justice, comforter of the oppressed, grant Tundu Lissu peace of heart, strength to endure, and renewed hope. Bless our Tanzania with unity and true justice. Amen.โ ๐๏ธ
#PrayForLissu #Tanzania #Peace
#unitednations ##usembassyTz
##FreeTunduLissu
Kazi ya kuwapambania watu ni ngumu sana, lakini huyu jamaa anaifanya ionekane kuwa ni Kazi ya Wito kutoka kwa Mungu yenye malipo ya uadui, mateso, udharirishaji, uonevy n.k
Ukimuangalia anaonekana ni mtu ambaye anayaelewa mateso ya kikombe hiki na anaelewa ushawishi wake ili wakuindolee mateso hayo. Amegoma kumsujudia Shetani ili apewe mali awe tajiri, amegoma kumsujudia Shetani ili apewe mkate akate njaa, amegoma kumsujudia Shetani ili apewe ufahari wa kila aina ikiwepo kuketi mezani na kula na Mfalme. Ameamua kuifuata njia na safari ya kifo chake, ameamua kuubeba Msalaba na kuongoza njia kuelekea Golgotaโฆ
Kosa la huyu kijana ni kiasi Cha KUTEKWA...... Oya @Thommunkondya kauli ya UVCCM kuhusu kupotezwa kwa Vijana ni ipi?? Au mnafurahi sana kuona Uhai wa vijana unaondolewa kijinga tu??
Nimetimiza AHADI YANGU KUCHANGIA CHADEMA 1M baada ya kufikisha MILIONI 300 (NIMEFIKISHA JUMLA 7M NDANI YA SIKU 46).
Niliacha kuenda KANISANI na kuwa muumini WA HAKI.
SADAKA yangu siku zote ni kuchangia WAPIGANIA HAKI.
Nilianza kampeni hii ya kuichangia chadema kwa kuchangia 1M siku 46 nyuma.
Nikaja kuanzisha challenge kwa wapenda HAKI WENZANGU kwamba tukifikia MILIONI 100 basi nitachangia tena 2M Nilifanya hivyo.
Nikaongeza challenge kwa WAPENDA HAKI kama tutafikia MILIONI 200 basi nitachangia tena MILIONI 3 nilifanya hivyo.
Kisha nikaongeza Challenge kama tutafikia MILIONI 300 basi nitachangia tena MILIONI 1 leo nimefanya hivyo.
Mpaka sasa nimechangia jumla ya MILIONI 7 ndani ya siku 46.
Lengo la hii kampeni ni kukusanya MILIONI 334 bado milioni 33 kwasasa tunaweza kufikia.
Kuchangia CHADEMA kwangu ni SADAKA baada ya ibada KAMILI YA KUPIGANIA HAKI.
Kama ulichangia basi fanya KUCHANGIA TENA NA TENA kama nilivyofanya mimi.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
REPOST 500
Inawezekana wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, alipokuwa akimwelekeza Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche, โkupeleka moto,โ huenda wengi wasijue alimaanisha nini hasa!
Hii ni mojawapo ya mifano inayoonyesha jinsi Tundu Lissu alivyokuwa "akipeleka moto" kisawasawa Bungeni kwa kila aliyekiuka sheria za nchi au kutenda kinyume na misingi ya haki.
Leo hii, mzalendo huyu na โThink Tankโ yuko nyuma ya kuta za Magereza, akituhumiwa kwa kesi ya uhaini!
Kabla ya kujiuzulu, Dkt. Emmanuel Nchimbi alitoa warning signs mapema sana. Katika hotuba zake nyingi, aligusia umuhimu wa utawala bora, haki, uwajibikaji na mchakato wa Katiba Mpya.
Kikatiba, Makamu wa Rais amepewa jukwaa kubwa la kitaifa. Itoshe kusema kwamba Dkt. Nchimbi alitumia jukwaa hilo, angalau kwa kiwango fulani, kuwasilisha ujumbe mzito kuhusu mwelekeo wa uongozi wa Tanzania na kumkosoa Rais aliyeko madarakani ( Rais Mbinafsi)
Mwisho, pamoja na kwamba Nchimbi hakutoa ombi la radhi kwa Watanzania kwa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025, kujiuzulu kwake kunatosha kuonyesha jambo moja: cheo ni dhamana, si umiliki.
Kiongozi anaweza kuwa na madaraka makubwa, lakini haki, uwajibikaji na utawala bora lazima vibaki kuwa misingi isiyoweza kujadiliwa.
Political Movement ๐น๐ฟ
Haki Itashinda Tanzania
"Mahakamu (@HecheJohn ? ongeza moto, wameshaanza kutoana maini, ongeza moto. Nipo vizuri kuliko tarehe 09 Aprili 2025 (hii ni tarehe ambayo Lissu alikamatwa)" Mhe . @TunduALissu
Hivi kwa mazingira haya Mtanganyika mwenzangu unawezaje kuwa na ujasiri wa kuendelea kumpenda samia/ccm ? Bado unapata nguvu ya kuandika kwenye mitandao ukimsifu samia? Huyo aliuwawa ni kaka/mume/mjomba/mtoto .Familia ya samia ingefanywa hivi yeye angejisikiaje? Katiba mpya na uwajibishwaji kwa watu wote waliouwa Watanganyika ni lazima akiwemo samia