@HildaNewton21 Mzee Mtei alikuwa Gavana wa kwanza wa Tanzania. Pia mwanzilishi wa Chadema hivi mnadhani nafasi yake kama gavana wa kwanza na ya mwenyekiti wa kwanza wa chadema ipi ni kubwa?
@EduTalkTz Ila nyie jamaa bana nadhani mna tatizo mahali yaani mnapinga vitu hadi mnakuwa kichekesho sasa. Kujenga kanisa ni tatizo? Kwani kanisa limejenga shule, hospitali ngapi na hauoneshi hizo