Nukuu za hotuba ya Rais wa Tanzania Mhe Dkt.@SuluhuSamia wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kikao kilichofanyika ukumbi wa Mikutano wa AICC, Arusha leo tarehe 28/08/2024.
@HopeQuotes__@TunduALissu Hii ni sababu haina mashiko nadhani cha muhimu ni kutii shetia bila shuruti ili kuepuka kuingia kwenye migogoro ya kufunguliwa mashtaka
@IAMartin_@TunduALissu Ushauri ni kutii sheria bila shuruti kwa sababu ukifikishwa Mahakamani kwa kosa lolote huwezi kutoka kwa watu kukutetea kuwa ww hujafanya kosa hilo kutoka kwako kutaambatana na ushahidi unaoongozwa na vifungu vya Sheria so hukumu ndo itaonesha kama siyo muhaini au laa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu leo tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Kiwanda cha MOLI Oil Mills Co. Ltd Milembe Gugu Silanga kuhusu utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kabla ya ufunguzi wa kiwanda hicho Bariadi mkoani Simiyu leo tarehe 16 Juni, 2025.
Muonekano wa kiwanda cha utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi mkoani Simiyu kilichozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 16 Juni, 2025.
Kiwanda hiki ni neema kwa wana Simiyu kwani kimeongeza ajira kwa vijana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bariadi, mkoani Simiyu leo tarehe 16 Juni, 2025.
Rais @SuluhuSamia ametangaza kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Cleopa David Msuya kilichotokea leo katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu ya moyo.
Aidha, Rais Samia ametangaza siku saba za maombolezo, ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia Mei 7 hadi 13, 2025.