@maestrowafact Kaka, kwanini unasukumia Lawama CHADEMA huku ukikubali wazi tatizo ni CCM? So, unataka CHADEMA wakubaliane tu na vile CCM inataka? 2022 ilitokea nini? Why, 2025 walikataa maridhiano, sasa ndio tuwashinikize CHADEMA?
@MakereFelix@420Cousin Nia bila Mamlaka inasaidia nini? Huyu VP ni Ceremonial leader tu, angekuwa na Power kubwa kiutendaji, binafsi hata mimi ningeweka matumaini nae.
@Thommunkondya VP nchi zote ni mshereheshaji tu. Haya yote anayoyasema na kuyatamani, hayana impact sababu hana Mamlaka hayo ya utekelezaji. VP hawezi hata mfukuza WEO.
@Thommunkondya Kaka Tom, Ndejembi ni mmoja ya viongozi smart sana waliopo ndani ya CCM. Lakini kama walivyo wengine wote, hata wewe, hakuna impact ya yote haya sababu ya MFUMO ULIOHARIBIKA. Bro hata samaki awe FRESH kutoka ziwani, ukimuweka kwenye MCHUZI ULIOCHACHA, basi huyo samaki haliki.
@MakereFelix@420Cousin Kaka, CCM kuna watu smart na wazalendo wengi sana. Tatizo MFUMO. Tuombe uhai, hadi 2030 wakiwa na positions zao hizo hizo, hakuna cha maana kitachokuwa kimebadilishwa licha ya huyu Mh kujua vijana na challenges zao.
@salim_alkhasas Simple Economics: Ukubwa wa keki (GDP) haumaanishi kila mtu atapata kipande kikubwa! Nchi inaweza kuwa na GDP kubwa kwa sababu ya idadi ya watu na rasilimali, lakini ikakosa usawa wa mapato na fursa, matokeo yake umaskini unabaki kuwa mkubwa.
@Thommunkondya Sasa ngoja. Tunangoja SGR mwaka wa 10 huu. Tunamgoja madawati. Tunangoja madarasa. Tunangoja maji. Tunangoja matundu ya vyoo. Tunangoja zahati. Tunangoja madawa....bado tunangoja.
Sasa Ngoja.... hii kauli mbiu inawafaa sana🤪