@mwigulunchemba1 Una deni kubwa sana kwenye hili taifa, Biblia inaposema kila mtu atatoa hesabu maana yake kwa nafasi uliyopewa umelisaidiaje hili taifa, hesabu yako ni kubwa kutokana na majukumu uliyopewa.
Do the needfull
Haya kamateni tamko la @UmojaWaMataifa kwa Kiswahili 🔥
Wanasema hiviii:
Kuelekea kwenye maandamano yaliyopangwa kufanyika nchini Tanzania katika siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Taifa hilo Tarehe 9 Desemba, tunazikumbusha mamlaka juu ya wajibu wao wa kuhakikisha raia wanatekeleza haki zao za uhuru wa kujieleza, kujumuika na kukusanyika kwa amani.
#D9 njia nyeupe!
Tunaendela kuhesabu masa sasa
#D9Tunatoka #D9TanganyikaDay #SamiaMustGo
Meet brilliant young man Mika Chivala
He has been detained on treason charges by the illegitimare govt of @SuluhuSamia
He led a prayer for the protestors and later joined them 😓
This exceptional young leader is punished for speaming his mind like thousands of others!
Nchi ya kiwaki sana 🚮 huyu Mika ndo kiongozi anayetakiwa eti leo mmemfunga na kumpa kesi - chuki na husda tu maana kimama mtoto wake wa kiume tumeona posts zake anawaza mambo ya ajabu tu na bangi - leo anapewa pesa na kundi la mauaji ananyanyasa vijana bright kama Mika
Eniwei #SamiaMustGo and we will free all political prisoners on #D9
@godbless_lema Huu nao ni uchizi kama uchizi mwingine, huwezi kuwezi kuficha ukweli daima, serikali ikubali imefanya mauaji ya kinyama, imeua ndugu zetu, familia zetu zimeguswa.
@godbless_lema Huu nao ni uchizi kama uchizi mwingine, huwezi kuwezi kuficha ukweli daima, serikali ikubali imefanya mauaji ya kinyama, imeua ndugu zetu, familia zetu zimeguswa.