Huyu Mwalimu KIBAKA hasira ya kulipwa Mshahara wa laki tatu kwa mwezi anamalizia kwa watoto wetu na hawa Waalimu ndio wanalipwaga 20K kuiba Uchaguzi, Tafadhali tusaidiane kupata taarifa zake pamoja na hao wanaoshangilia.
#UZI
๐จJINSI WANAVYOREJESHA MESSAGE ZAKO ZA WHATSAPP ULIZOFUTA.
Wengi tunadhani tukibonyeza "Delete for everyone" basi meseji imepotea kabisaโฆ
Lakini ukweli ni kwamba, kuna njia za kitaalamu za kuzifufua tena.
Na hii thread itakufungua macho ๐
Mama mzazi wa Azizi Ki, Sanata Ki, amemshambulia Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, akidai anahusika na ndoa ya mwanaye Tanzania.
Sanata Ki ameonyesha wazi kukasirishwa na ndoa ya Azizi Ki, akidai kuwa hakupewa taarifa rasmi na wala haitambui.
Thread: โคต๏ธ
Hatuna Wazazi Matajiri, hatuna Baba Mdogo Ubalozini wala Shangazi hapo Bungeni, hatuna Shemeji wala Kaka kwenye system, hustle zetu ni kama msitu tunapasua ili kutengeneza njia yetu.
Kila kitu ni sisi dhidi ya DUNIA, ni sisi na Mungu wetu, mechi ya ugenini hii ila TUTASHINDA๐ช
Watu wengi wanaacces ya *CANVA* kwenye simu zao .
lakini hawafahamu kuitumia.
Tuanze na Poster za "INSTAGRAM" ๐ฅ๐
Kwanza wengi ukosea hata templates zinazotumika kwenye mitandao au kitu fulani zinatofautiana
Ila kwa canva ni rahisi sana, kama kupika chai ---- ukipewa maelekezo
Unaweza kutengeneza
Repost .
Comment "Canva" nikutumie DM maelekezo