Kwa mara ya kwanza, nimetembelea #nyereresquare Dodoma na kukutana na kupokelewa na waendesha baiskeli wenzangu; kilomita 700+ kutoka Butiama hadi Dodoma. #likizo2021#MazoeziNiAfya
Dunia haipaswi kujua kila kitu unachopitia kwenye maisha yako. Watu kutokujua mambo yako sana pia huongeza thamani yako. Usiwe barua ya wazi ya kusomwa hata na wasiohusika. #Monday
Kuna nini Ktk Makutano ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Kinondoni.?
Eneo lenye Historia Mbaya
1982 Ndipo ilpo uwawa Komandoo Mohammed Tamimu,Kwa Majibizano ya risasi na Chupa za Soda,Wakianzia Nyumbani Kwake Kinondoni mkwajuni
Mwaka 1998 Magaidi walilipua Ubalozi wa USA
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu akifurahia jambo katika Tamasha la Kizimkazi, Unguja. Katika tamasha hilo Rais amezindua:
1.Jengo la Ofisi ya Maendeleo Kizimkazi
2.Skuli ya Maandalizi Kizimkazi
3.Nyumba za Madaktari Kizimkazi
Na kukabidhi gari la wagonjwa.
#MamaYukoKazini
Una point lakini unafanya ionekane kana kwamba vitambulisho havina msaada wowote. Tutambue kwanza kuna hatua imepigwa,then tuangalie namna ya kuboresha.