Wakili Dkt. Rugemeleza Nshalla—> HONGERA. Miaka 30 tangu kuapishwa kuwa Wakili (15.12.1995–2025)! (2019–2021). U mwanzilishi mwenza wa LEAT, msomi wa Sheria wa Harvard, mtetezi shupavu wa haki za binadamu, utawala wa sheria na kuhifadhi mazingira, na kwa sasa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA. Uzalendo mkubwa kulitumikia Taifa. Mungu akulinde na kukuongoza.
30 years at the Bar (15.12.1995–2025)! Congratulations to Adv. Dr. Rugemeleza Nshalla—former TLS President (2019–2021), co-founder of LEAT, Harvard-trained advocate for human rights, rule of law & environmental justice, and current Director of Legal Affairs, CHADEMA. An outstanding legacy of service 🇹🇿👏
#30YearsAtTheBar #RuleOfLaw #HumanRights #EnvironmentalJustice #TLS #CHADEMA
"Ndugu MAJIZO Hivi tunawaombaje watu wasiokuwa na uhakika wa kuishi watushike mkono ili sisi tuendelee kula maisha? NIlidhani huu ni wakati wa kusimama nao ili UKWELI na HAKI viwe msingi wa nchi yetu kuliko kuficha UOVU Kwa kujidanganya hakuna TATIZO":- Super STAR Rose Ree
Hawa ndugu zetu, sidhani kama tutawaona tena, labda sisi wananchi tuwatafute watekaji kwa bidii bila kuchoka, basi angalau watupe mifupa yao. Lakini siku inakuja ambako kila lililo tendeka gizani litafurumiwa hadharani.
Baada ya MATAMKO ya jana Kutoka ULAYA NA MAREKANI naona Larry nae kaweka Comment yake kuhusu kauli ya DIKTETA JIKE ile ya “WHO ARE YOU?”
Larry anasema baada ya MATAIFA Haya makubwa kuulizwa “WHO ARE YOU?” Sasa naona yameanza kujitambusha UPYA kwa matamko yao😂🫵🏾
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
The whole world stands in solidarity with Tanzanians.
The international community is trying to communicate a " we are in this together" message to Tanzanians.
Tanzanians must come out and fight for justice and accountability on the 9th of December 2025.
We cannot sit and watch as a demon terrorizes innocent people for demanding a free and fair elections.
Samia must fall ✊
#D9Tunatoka #SamiaMustGo
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.