After 7 months of hard work across 3 countries, my team and I at @Spearhead_Af are pleased to announce that my new documentary titled 'What Happened On October 29' will premiere in Accra at the WAGMC Auditorium, University of Ghana, Legon.
It will also premiere in Dar es Salaam, Tanzania on Friday May 29, and in Nairobi, Kenya on Sunday May 31.
For the chance to win an exclusive free IV to the premiere (Accra only), kindly comment below and tag @joyfwen
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.
Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.
Asanteni Sana.
Do you have a video or photo of someone being killed or who died during the October 29 Tanzanian election?
Upload it to this secure platform and answer the questions, and help Human Rights Watch document what happened: https://t.co/bWZtUtJex2
Tafadhali sana, muachieni Eng David Djumbe mara moja. Djumbe ni msaidizi wa Tundu Lissu; na zipo taarifa za majaribio ya kumteka tangu mwaka jana. Nimesikitika kufahamu ametekwa jana usiku.
Free David Djumbe Now!
Je, una picha au video ya mtu akiuawa au aliyefariki wakati wa uchaguzi Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba?
Weka picha/video hiyo hapa na jibu maswali yatakayofuata. Wasaidie Human Rights Watch kurekodi kilichotokea. https://t.co/bWZtUtJex2
Namshukuru Mungu sana, kesi ya Kaunya na wenzake imeisha leo rasmi ambapo Kaunya yuko huru sasa.
Asante sana mawakili wenzangu, Chama Taifa,Bavicha Taifa, Uongozi wa Kanda ya Serengeti, LHRC, wadau na wanachama wote kwa kujitoa kwenu kuhakikisha haki inatendeka.
Bye bye Bunda!!
Tundu A.M Lissu alikamatwa akiwa Mbinga, Ruvuma Aprili 9, 2025. Tangu tarehe hiyo ya kukamatwa (Aprili 9, 2025) hadi leo (Mei 20, 2026), zimepita siku 406.
Februari 24, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam) iliahirisha kesi hiyo kwa muda usiojulikana (sine die). Shauri la msingi likasimama.
Hatua hii ilikuja baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha shauri la mapitio/rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania kupinga uamuzi mdogo wa Mahakama Kuu.
Tangu upande wa Jamhuri ukimbilie Mahakama ya Rufaa na kesi ya msingi kusimamishwa (Februari 24, 2026) hadi leo (Mei 20, 2026), jumla zimepita siku 85.
Tunawauliza Serikali, hamtaki kuendelea na kesi yenu dhidi ya Tundu Lissu? Ushahidi wenu hautoshelezi? Vielelezo vya kuthibitisha kesi yanu vimeyeyuka?
Tunawauliza @judiciarytz, hamtaki kesi dhidi ya Tundu Lissu iendelee? Kwanini tarehe haipangwi baada ya siku 85 kupita? Majaji wa mahakama ya rufaa hawapo?
Kama hamtaki kuendelea na kesi kwa njia za mahakama, muachieni huru Tundu A.M Lissu. Kama mnataka kuendelea na kesi yenu, pangeni tarehe haraka sana.
Vinginevyo, mnaulazimisha UMMA kusimama na kumdai Tundu A.M Lissu. CHADEMA tunamtaka kiongozi wa chama chetu, uraiani. Tunasisitiza, #FreeTunduLissu.
Sawa bhana 😄 Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live 😅. Na usiwe na wasi wasi… huku hakuna nyama za matambiko 😂
BODA BODA wa Mbweni heshima yenu wanangu-wamewafukuzia watekaji mpaka wanaimgia nao kwenye kambi ya usalama wa taifa.
Baada ya kuona mnaweza kuwafikia wakaamua kusimamisha gari na wote wakatoka na bunduki kuanza kuwashambulia.
Wakati wote wanawashambulia na nyie mnakimbia huku nyuma mliokoa maisha ya DJUMBE.
MUNGU AWABARIKI WANANGU NA KAZI ZENU NA FAMILIA ZENU.🙏🏾
The @StateDept is designating Tanzanian Police Force Senior Assistant Commissioner Faustine Jackson Mafwele for involvement in gross violations of human rights.
KAHAMA – SHINYANGA.
Ukisikia mavi yanagonga CHUPI ndio hii-Sista Nyahoza haamini anachokiona muda huu.
Dikteta JIKE Limejifungia linalia kwa kinachoendelea.
Asante Kahama, mwaga moto kama MADRAGON.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Chama kilichopoteza sifa zote za kuwa chama cha siasa hapa nchini na ambacho kinapaswa KUFUTWA mara moja ni CCM.
Watu wawili ambao wanapaswa KUFUTWA KAZI mara moja ili kuinusuru nchi hii na maafa zaidi ni Francis Mutungi na Sisty Nyahoza.
#Ukweli#Haki#Uwajibikaji
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri.Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na inamchango mkubwa katika vurugu za Oktoba 29.
Kimsingi Tume ya Uchaguzi na Ofisi hii ya Msajili wa vyama kwa matendo au kutowajibika kwao zimesababisha asilimia zaidi ya 60 kupelekea Mauwaji ya Oktoba 29/2025.
Baadhi ya Maofisa wake kwa makusudi,kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu Haki, Amani ,umoja,utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa Kidemokrasia
Ofisi hii Inafanya na Kutenda kwa kuzingita Uonevu,ubaguzi,hila na Inaongoza kwa matumizi mabaya ya Mamlaka.
Tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi,Jeshi,Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila tusisahu kuwa kinu kinachofua na kuandaa hila, fitina na machafuko ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza Ofisi ya kuvutuga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa.
Tusipo ziba Ufa tutajenga Ukuta,Mwanzo wa ngoma ni lele , na Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu.Hala hala kidole na Jicho.
BAK Mwabukusi.