First Born💪
Believer💒
VW-Polo GTI,
Forex Trader📈📉,
Movies & Music 💓,
Digital Marketer 🌏,
Graphics Designer,
Listener ,Non-Talkative,
IM RED,IM LIVERPOOL⚽.
Nasemaje huko CCM achaneni na Heche kabla wanaharakati hatujaliamsha dude upya.
Hivi mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche mtu ambae alikuwa mbunge kuonyesha vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions. Hivi nyinyi vichwa vyenu vina akili kweli?
Nyie Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche, kiongozi alieko uraiani aliepewa mandate na Watanzania kuwasemea na kuwaongoza kwenye kupata haki, basi Endeleeni na ujinga wenu, mta regret.
Yoyote anaetaka kuhoji statement za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.
Ila jueni wanaharakati tumejipanga vizuri.
Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statement….
ANGALIZO; Nimepost upya coz nilisahau kublock namba za simu na namba za account. Maana huwa hawaruhusu kuposti hizo details.
This is the best news kwa maandamano. Sijui hata kwanini watu walitaka Afcon iondolewe.
Watanzania , hii nafasi ni kama ile nafasi tuliyoipata siku ya uchaguzi.
Moja ya sababu iliyofanya maandamano yakafanyika siku ya uchaguzi ni sababu n ilibidi waondoe mabunduki na magari ya kutisha barabarani ili watu watoke wakapige kura,same thing na Afcon, kutakuwa na wageni kutoka Africa nzima lazma waondoe mabunduki, askari na vitisho vyote lazma vikome ili wageni na wa nchi za nje waweze kutoka waende mpirani. Vitisho vyovyote wakitoa au wakijaza askari hakuna mgeni atatoka hotelini.
Jamani siku ya mechi ya kwanza ya Afcon Tz, hakuna mtu kukaaa ndani.
Kwanza hawatoweza kuzima internet, pili hawawezi kupiga watu risasi maana itabidi wawapige risasi mpaka wageni waliokuja TZ. Hawawezi kuzima internet maana itakuwa world news.
Kwanza wageni karibia wote watakuwa na rangi kama zetu, hawatojua mgeni yupo Mtanzania yupi, so ile ya kupiga tu risasi mtaani watashindwa.
Tusipotumia AFCON kujikomboa hakuna nafasi ingine itakuja ambayo hatuwezi kupigwa risasi, kuzimiwa internet, wala kujaziwa askari barabarani.
Na wakijaza tu askari barabarani basi na mood yoote ya afcon itafia hapo hapo, na wageni walioko TZ ndo wata tweet na kupiga picha na kusambaza kwenyw social media mpaka dunia nzima ione.
NI LAZMA TUPAMBANAE HII SIKU!!!!
Maaandalizi makubwa yaanze on the ground. Mobilization ianze kufanyika.
THIS IS OUR CHANCE!!!
. @HecheJohn Keep standing with the people……….. WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE!!!!!!!!!!!!!
Wewe na Lissu mnashikilia ndoto zetu na matumaini yetu. Kila kitu tumeweka kwenye mikono yenu nyinyi wawili.
Please msituangushe,
Sisi hatutaki maridhiano na waliotuua kabla ya uwajibikaji na ukweli wa October 29. Hatutaki na hatutayatambua maridhiano ambayo hayatosimamiwa na International community. Na bila Tundu Lissu mezani kutuwakilisha Watanganyika hatutatambua maridhiano yoyote. Na wakimnyonga ndio wasahau kuna kitu kinaitwa maridhiano kitakaa kitokee Tanzania. THIS IS A PROMISE!!!!! Ni itakuwa mtifuko mpaka milele!!!!!!
@HecheJohn Sisi wananchi tuliopigwa risasi kama mbwa hatutaki kupeleka pole wala rambi rambi kwa shetani wa miguu miwili alietuua kama kuku.
Tuko tayari kuishi kwa chuki na mshike mshike mpaka haki itakopatikana ila katu hatutaki amani ya kinafki na waliotuua ili washikilie madaraka bila idhini yetu.
Na katu hatutokubali statement za ‘Let Love lead’ tunataka statement za ‘LET JUSTICE LEAD’. Love iliisha October 29 2025, sasa kinachotafutwa ni haki. Haki ikipatikana Love itakuja yenyewe.
Na katu hatutokubali kumtambua Samia Suluhu kama Rais wa Tanzania au serikali yake kama serikali halali.
Huu ndio msimamo wa wananchi, NAWASILISHA!!!!!!
Lissu alikuachia chama HUJAMUANGUSHA.
Lissu alikuweka kama shahidi wake HUJAMUANGUSHA.
Kipindi chote zaidi ya siku 600 umeongoza CHAMA kwa shida sana ila umebaki imara, tunaomba usikate tamaa sisi TUNAKUAMINI shikilia hapo hapo.
HIKI CHAMA NI MPANGO WA MUNGU NA WEWE MAKAMU HECHE NA LISSU NDIO MARUBANI WETU.
TUTAVUKA HAPA NA HAYA YOTE YATABAKI STORY, PIGA KAZI MAKAMU.
Wauwaji wa October 29 Watawajibishwa, kuanzia waliotoa order za mauwaji, mpaka waliotekeleza order hizo na mpaka yule killer in chief aliesimama hadharani baada ya mauaji na kusema proudly kuwa nguvu sahihi ilitumika…….
Na CCM itatoka madarakani na Watanzania wataweza kuchagua chama wanachokitaka, Rais wanaemtaka na wabunge wanaowataka……
Cha msingi, HOLD THE LINE!!!!!!!!!!!!!
@SuluhuSamia@ccm_tanzania
This is what you did to the people of Tanzania for the sake of power and greed.
1st video: How do you justify shooting protesters as they were running away?
2nd video: How do you justify shooting people who were simply sitting in a café, not even protesting? This was about instilling fear.
3rd video: You went into residential neighborhoods and shot mothers who were simply sitting outside their homes. These children are scared forever.
4th video: This is not ordinary police ammunition. This is military-grade ammunition.
Tanzania, take heart. I will keep fighting, and I will continue exposing to the world what is happening to you.
The truth will not be buried. These killings will be seen by the world.
@SuluhuSamia no number of paid bots on this post will stop me from showing the world how evil you are. You killed over 10,000 of your own people for the presidency.
Tanzanian, today is good day, We are nolonger invincible to the world.
Our pain and our suffering is no longer being ignored by Western media.
American media is starting to care about our struggles.
We matter!!!!!
Thank you @nypost
https://t.co/oN0NjX064s
@Breezy_GLE450@pastajoshuatz Mimi sioni nyoka alipodanganya, Mungu alisema wakila watakufa pale ila haikua ivo. Nyoka Alimwambia mkila tunda mtajua mema na mabaya, je baada ya kula hawakujua ilo? Nani alikua mkweli kwa muktadha iyo?
Nachoshukuru hakuna tena mtu anaongolea maridhino….
Kila mtu kaanza kuelewa kuwa maridhiano is impossible na hii Serikali batili….
Sasa tupambane mpaka tupate haki….
@Breezy_GLE450@pastajoshuatz Mkuu mi nahitaji we useme alimwambia nini then mi nikupe fact kua alichomwambia ni uongo au lah! Katika kitu alichomwambia nini kilikua uongo?
Wafuasi wa MBOGAMBOGA wenyewe wamechanganyikiwa kama raia wengine tu. Hata wao hwaelewi mambo yanayotokea. Wanashangaa mtandaoni tu. Mambo ni mzobe mzobe. Ipo hivi, hamuwezi kuua watu wengi kwa kiwango kile halafu mkatawala watu kwa amani na utulivu. Damu za watu zitawatesa sana.