@MarekaMalili Sisi kwenye ukoo wetu alie toboa ni Kakaangu mtoto wa Baba mdogo nae katoboa kwa kazi ya Udalali mdo alie jenga nyumba kwa tofali za choma vip kipaji chetu kiko kwenye udalali nini mkuu?
@baraz2021@SuluhuSamia Kwamba wewe ndo unamjibia Mh: Rais?? Kwaiyo wote waliomipigia xm nakunipongeza kwa hatua niliyochukua unawaona hawafai?? Na kwataarifa yako nimepewa mda tu majibu yataitika
@SoudHamzaAme1@SuluhuSamia Qhehhehehhe manaake kwanza nichekee ukoo wetu tu nahisi haunabahati. Nimeigiza sana kwenye majukwaa ya CCM hasa kwenye kampeni lakini waapi?? Numevaa sana.magauni makubwa kwakuigizaa mhhh.