@earadiofm@ACTwazalendo Tunaomba serikali itumie busara katika hili jambo, wanafunzi tunateseka sana....tunadaiwa kodi za nyumba, wengine tunategemea boom hilo hilo ili tulipe Ada, gharama za maisha ziko juu sana, mnatuumiza bure!
@RealHauleGluck @HESLB@HESLBTanzania Labda kwa sababu wao watoto wao wanasoma nje ya nchi......Naomba serikali itumie busara.....katika hili jambo ...tunaoumia ni sisi watoto wa masikini!
@MariaSTsehai Mbona waalimu walikuwa wanalipwa mishahara yao kikamilifu??? Serikali itumie busara katika hili jambo...Tunaoumia na sisi watoto wa masikini!
๐ฅฐ๐ฅฐCome give me some sweet love
Give me sweet love, yeah
Come give me some sweet love, yeah
๐ฅฐ๐ฅฐ
Too sweet
Listen to Sweet Love by Wizkid on Boomplay.
Lock in ๐๐ฟ๐๐๐ง
https://t.co/6B5vM7lDjs
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa pili kutoka kulia), akipokea hundi ya Sh bilioni 1.1 kutoka kwa Makamu Rais; Maendeleo Endelevu kutoka kampuni ya GGML, Simon Shayo (kulia), fedha hizo zimetolewa na kampuni hiyo
#HABARI Waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi @HKigwangalla amesema katika hotuba yake ya leo Mei 7, 2020, wakati wa kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo bungeni, atagusia kidogo madhara ya Corona kwenye sekta ya utalii na namna wanavyoyakabili.
Watu wakikukatisha sana tamaa, wala usipoteze nguvu zako kukasirika; jifunze kuweka matarajio yako chini zaidi kutoka kwa watu ambao vinginevyo ulikuwa unawategemea sana. Ukifanya hivi utakuwa ni mwenye furaha na kuridhika sana. #NjeYaBox#HK
#HABARI Spika wa Bunge Job Ndugai, amewataka Wabunge wa @ChademaTz kurudi Bungeni haraka sana na watakaoendelea na mgomo baada ya hizo wiki 2 hawatapokelewa Bungeni bila kufanya vipimo vya COVID-19 na kuthibitika hana maambukizi na kuwataka warejeshe fedha ambazo wamekwishalipwa.
#HABARI Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa kauli ya M/Kiti wa @ChademaTz@freemanmbowetz haimbabaishi na chochote kwa kuwa kila jambo lao wanaweka upinzani na Wabunge ni timu moja na yeye ameamrisha bila kushirikisha wenzake, hivyo Wabunge wa CCM watabaki na kuendesha Bunge.
MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ASIKITISHWA NA VIFO VYA CORONA KILA KUKICHA.
"Niwaombe sana jikingeni. Wakingeni na wanaowategemea. Tujue kwamba, jamani jambo lipo. Lipo tena lipo kweli kweli. Kwasababu kila tukiamka huyu kalala, huyu kalala inatusikitisha sana,"-@SuluhuSamia
Ni vema tukashirikiana na serikali yetu katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu, kwani umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu...., mungu wabariki watumishi wa afya, mungu wabariki viongozi wetu, mungu ibariki Tanzania!
Kipindi hiki nimeona jinsi baadhi ya wapotoshaji wanavyo furahia vifo vya watu na kudhani wanaikomoa serikali hasa Mhe. Rais Magufuli, Kufa ni Mungu anapanga na sio mtu naomba watanzani mpuuze taarifa za watu wanaokufa kua wanakufa kwa Corona, watu walianza kufa kabla ya Corona,