@TriciaAbou Watu hawataki kupeleka mizigo Kwala Dry Port na wanaendelea kuanzisha bandari zao mjini .Shida ni mipango na maelekezo yasio zingatia maslai ya wengi
@TuheriEdward@PeterSambala@Consolataally Anza sa iv na kama mwanafunzi ni msichana kuna shule ya masista ni mpya ipo opposite na ulete inaitwa st. Monica ipo vizuri pia na kwa hao bethel wana matawi mapya yapo dodoma na babati .... ukichanga karata zako vzr hawez kosa kote ila mibiko mitali achana nayo
@M_Sungwa Yuko "sahihi" kabisa kulingana na system iliyopo. Huku bara walishawahi kuzuia bima kupitia kifurushi cha toto Afya card kwa sababu ilikuwa inatibu watoto wengi na kuhatarisha uhimilivu wa mfuko. Sababu zile zile ila mazingira tofauti.
@RKishaija81715 Ile hotuba ya VP wakati anashukuru kwa uteuzi wa ghafla kwenye mkutano mkuu wa CCM pale Dodoma January 2025 ilibeba ujumbe mzito na ni kama alijiandaa kwa haya yanayotea.
@DadaConso Kuna namna nilimsilikiza Prof Kabudi kipindi kile anaongelea kuhusu sheria ya ndoa nikasema hata watu waende mahakamani mara mia serikali haiwezi kuibadilisha ile sheria. Prof. anasema ile sheria ina msingi wa utulivu wa kidini nchini.
@PolycarpMDM Mazingira ya Godfathers waliofanikisha kuhama ambao ni VP na Makala yawezekana yamebadilika. Tuliona kila ziara za Nchimbi akiwa Katibu mkuu na wakati wa kampeni za uchaguzi ilikuwa lazima Msigwa awepo. Anaefuta ni Upendo Peneza.