I'm at a point in my life, like we all grew up in the streets ,and We Try to be better but they labeled us felons,sent us back to Hard life ,I had to fight against that whole time to gain my respect and be who I am today and I'm proud of that JESUS to save my life 🙏
Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Jana tulikuwa na mazungumzo kuhusu Siku ya historia ya VALANTINE DAY.
Mke wangu aliniuliza, Hivi Godbless , ungependa Brilliant (Binti yetu) aolewe na mume mwenye tabia kama zako ?
Nikajibu faster , aolewe na mtu kama Yesu !!
Akacheka 😂😂😂Bro, acha kurukaruka, Yesu hakuoa!!’ Nakuuliza wewe !!
Mbona jibu rahisi sana ?
Nikajibu, nahitaji marekebisho kidogo na maombi kwa sasa kwanza!!
Akasema, Awake your spirit Godbless, ikiwa wewe ni baba na hauwezi ku recommend mtoto wako aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako basi iko shida!! Bahati nzuri wakati stori zinaendela , Bon Yai alipiga simu , nikaenda pembeni nikasema naona kuna simu ya kikao, nikawa nimepita hivii , nikamwambia Ney , unajua Lissu kanyimwa chakula huku nikiwa nimekunja uso !! Ney , hawa CCM ni sadist sana!! Nikajiongelesha !!
Okay !! Sasa na wewe mwanaume mwenzangu nakuuliza kama nilivyo ulizwa? Je , ungependa binti yako aolewe na jamaa mwenye tabia kama zako ?
Kama jibu ni hapana !! Badilika !! Tubadilike!!
Unajua sisi wanaume tunapenda sana kulaumu wanawake kwa kuchagua mwanaume asiye sahihi, lakini kamwe hatumlaumu mwanaume aliyeficha utu wake wa kweli na kujifanya mtu mwingine ili ampate mwanamke mwema. Hatari kubwa sana hii.
Nawatakia Siku Njema ya Wapendanao.
Bado ninawashangaa sana watu ambao bado wanaamini yaliyofanyika Oct. 29th yalifanywa na watu ambao sio watanzania!
Mtu anasema hakuna askari wa kitanzania anayeweza kwenda kuwamiminia risasi vijana wanaotazama mpira kibanda umiza!!
Kwani waliompiga risasi TAL hawakuwa wanatokea Tanzania?
Waliomteka na kumuua mzee kibao hawakuwa watanzania?
Waliomteka Sativa,Mdude,Mkato sio watanzania!??
Aliyempiga bomu Mwangosi hakuwa askari mtanzania?
Aliyempiga risasi AQuelina hakuwa askari wa kitanzania?
Kwanini mnajizima data na kujisahaulisha kuwa haya mambo hawajaanza kuyafanya october 29!!
Wanajaribu kumchokoza na kumuamsha Tembo aliyelala.
Swali la msingi ni Je akiamka wataweza kummudu na kumdhibiti au ndiyo utakuwa mwisho wao..?
Tuwe na subira tujionee mwisho wa huu mchezo wa hatari.
Tumalizie kuwaumbua hawa Wakatoliki wa kuchaji. Huyu ni wa mwisho, then tuendelee na mambo mengine ya msingi. Dunia imeshajua hawa ni Wajinga, na Ulimwengu umetambua aliyewatuma ni Mpumbavu.
Huyu anaitwa Lucy Peter Kuffa. Ndiye yule aliyesoma lile tamko na kusema wanampelekea Papa Petrol Station 😂. Lucy ni mzaliwa wa Morogoro kabila Mluguru. Anaishi Yombo Dovya, wilaya ya Temeke jijini Dar. Ni Katibu wa UVCCM Kata ya Makangarawe, na mjumbe wa genge la “Mama Asemewe” wilaya ya Temeke.
Alikuwa Katibu wa Umoja wa Wajasiriamali Wadogo na Watoa Huduma Tanzania (UWAHUTA) lakini akafurushwa kwa tuhuma za ufisadi.
Mwaka juzi alibadili dini kuwa Muislamu na kupewa jina la Latifah, kisha akaolewa na ndugu Nassir Abdallah. Kwa hiyo akatambulika kama Latifah Nassir Abdallah. Lakini akaachika kwa talaka. Akarudia Ukristo na akawa muumini wa Kanisa la Arise & Shine Kawe (Kwa Mwamposa) ambapo anasali hadi sasa.
Picha ya kwanza akiwa kwenye majukumu yake kwenye chama chakavu, picha ya pili akiwa kwenye press ya UWAHUTA, picha ya 3 akiwa kwenye press ya Wakatoliki feki, picha ya 4 ni siku alipofunga ndoa na ndugu Nassir Abdallah.
Lucy ni miongoni mwa "wahuni" waliojivika Ukatoliki Feki ili kulichafua Kanisa kwa maslahi ya waliowatuma. Namba yake ya simu ni 0688636296, mnaweza kumsalimia kidogo.!
@MalisaGJ
Media zetu zinavyoReport habari za Venezuela
unaweza kusema ni Venezuelans!!
Wanatengeneza hadi makala ya Maduro!!😁
Nguvu mnayotumia kureport ya Venezuela mngekuwa wazalendo mngetumia nguvu hiyo hiyo kureport matukio yetu ya October 29th……..
Aah. Mzee wangu Masta #MiguelAngelGamondi ahsante sana kwa hili. Hata kujaribu kukumbuka kwamba wapo Watanzania ambao walipoteza maisha Oktoba 29 ni jambo kubwa sana. Binafsi nimeshukuru kwa hilo. Hao wachezaji wenyewe sijui hata kama wanajua Watanzania wenzao waliuwawa kwa risasi Oktoba 29. Hawajataka hata kuvaa vitambaa vyeusi mkononi. Anyways, UKWELI NI UKWELI tu haijalishi unakubaliwa au kupingwa na wangapi.., sijui kama mbogamboga watapenda hii maneno na kibarua kinaweza kuota nyasi. Kwa hawa wahuni, ukweli kwao ni sumu. Lakini mtasha umeamua kuwa mkweli. Umesema kitu ambacho MATAPELI wa CHAUMMA hawajawahi kusema. Ahsante kwa kuwakumbuka ndugu zetu. #HatuweziKusahau
"Nyie mmevunjwa MIGUU NA MIKONO mnalia lia hapa, wenzenu wapo kwenye MAFRIJI wameoza huko" JOVIN.
Kamsikilize JOVIN ameongea mengi ambayo yalifanyika GIZANI. Pole kwa yote mzee.
Repost 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Pamoja na salamu zenu nyingi za kunitakia heri ya kuzaliwa 26 Dec.
Mwaka huu nimekosa ile salamu ya rafiki yangu Humphrey Polepole
Kwa miaka kadhaa ,tangu 2008 nimezoea kupata salamu yake fupi "heri ya Kuzaliwa Mzalendo"
na mimi ningemuitikia "asante sana Mzalendo".
✨️🎊Merry 🎄Christmas 🎅From 🎁COSMA
.......
Just as Christmas Bring Hope. ❄️ COSMA is Here ❤️ To Help Student 👨🎓🎓Open Doors To The Future In German 🇩🇪 Wishing
You Joy 🧑🎄,Love ❤️ And Success 🎆🎇🌲☃️
SIASA YA AKILI
Kijana mmoja aliwahi kumuuliza mzee mwenye busara. "Kwa nini nchi yetu ina wanasiasa wengi lakini maendeleo ni machache?" Mzee akatabasamu, akachukua karatasi tupu akamwambia yule kijana; "Andika jina la kiongozi bora.”
Kijana akaandika majina kadhaa.