@Sativa255@TanzaniaOneJezi@Sativa255 Usijiingize kusupport hili la kuwanyanyapaa watoto waliolelewa na S'mother hawakuchagua hivyo na sio wote wanapitia malezi mabaya
wanaokusupport ni pamoja na watoto wa masingle mother kumbuka hilo..Iam disappointed.
@TanzaniaOneJezi Wewe ulielelewa na wazazi wote wawili ndio hao waliokufundisha kujirecord nakuongea huku unachokonoa mapua yako mbele ya camera.Stupid people wako kwenye kila ulezi ukiwemo wewe usidharau watoto waliolelewa na wamama pekeyao.Pumbavuu..Judge mtu kwa kile alichofanya usi generalise
@ThabitSenior WaSkandinavia wanasema tunaishi kwa kutegemeana hivyo akuna alie bora zaidi ya mwingine.Kunakipindi nilienda Ghana aisee wale nao mmhh! nikasikia Tangazo la msiba nilichoka.Wanataja Status za wafiwa na wageni waalikwa na wanakoishi ili kuonyesha ukubwa wa msiba.
@saidonvatton @sambalecos @DosaRahma Mimi pia wakati nasoma secondary niliumwaga kichwa sana ikabidi nipime macho nanikapatiwa mawani yakusomea ata hivi sasa nikisoma sana au kutumia Computer na simu kwa muda mrefu basi kichwa kinauma sana.
@Rodrigo88192003 Elk, pia wanajulikana kama wapiti, ni moja ya spishi kubwa zaidi ndani ya familia ya kulungu, Cervidae, na mojawapo ya mamalia wakubwa zaidi duniani katika Amerika ya Kaskazini, na Asia ya Kati na Mashariki.
@HecheJohn Kuna shida moja kuhusu mahakama ya ardhi ambayo kwa Pwani zote iko Kibaha.Eti mtu anatoka Mkuranga hadi kibaha na usumbufu wa mahakama kwangu mm naona ni zaidi ya usumbufu esp kwa watu wazima..I hope watarekebisha hili maana ni mkoa moja kwenda mwingine ka sikosei.
@daktarimtalii@YourFrenchFry Kweli kabisa..Kuna baadhi ya nchi ukiwa kwenye mafunzo ya kuendesha gari kutoa huduma ya kwanza nayo hipo Kwenye program ya mafunzo..
@RICHBAN58454988@DorisLikwe Aijalishi kuwa na uwezo ili uwe na upendo.imani na jitihada..Unataka kusema ka familia ya kuunga unga ndio maisha yasimame .