@fintanjr_ mbona ni vazi lakawaida mkali yesu pia alivaa kanzu naye tusemeje kuwa alikua anavaa vazi lakiislamu nawakati uislamu ulikua bado haujaja..yohana 19:23-42 kwahyo nnaweza kusema kama yesu nikielelezo cha maisha ya mkristo basi sio dhambi kuvaa hilo vazi kanisani mkuu
@EngMapundajr yupo sahihi kitamaduni mpaka kibiblia akishatolewa mahari huyo nimke halali haya mambo yaharusi makanisani au mambo yaukumbini ni mambo ya juzi juzi tu ya mzungu