Tunataka kumuona mshtakiwa mkuu akifikishwa mahakamani. Waliofikishwa leo ni mwanzo tu,tusikubali kunyamaza mpaka mtuhumiwa mkuu akamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Hivi kama huyu binti alionekana na jamii akitendewa huu unyama na sasa anafanywa kuonekana yeye ndiye mwenye makosa, hawa ambao wanafanyiwa hivi vitendo bila kuonekana haki yao wataipata kweli? Mnatukosea bwana 🖐🏽
#JusticeForBinti
Aisee kulipa rent na stress zingine za ukubwa nimeelewa lakini leo mama yangu kanidai hela niliomuomba last week na kanipa deadline, nimechoka.
Aliesema mtoto kwa mama hakui, leo nimekua. Chiii🤦🏽♀️