@babalao__ Kitendo cha mwanafunzi kumaliza Darasa la 7 bila kujua kusoma na kuandika na akafauli kwenda kidato cha kwanza ili hali hajui kusoma wala kuandika huo mgomo wa walimu mliutatua lini?
@MfaumeIddy70803@JoyceHuru Kosa la kumuingilia kinyumbe na maumbile vijana walifutiwa likabaki kubaka kwa kundi ndio likawatia hatiani ๐๐๐๐๐