@Getrude_mollel Acheni kulipaka matope jeshi letu la police bhana je unaweza thibitisha kwamba hicho kitendo kimefanywa na jeshi la police? Vuta picha ungekuwa ndiyo ww umepigwa kama vile alafu watu wanajitambulisha ni police wee ungeamini ni police na hizo ndiyo taratibu za ukamataji wa police
@Abraha1Brighton 😂😂😂😂 hakuna atakaye ishi milele na kifo ni fumbo ndiyo maana maaskofu,mashakhe,watoto wanazaliwq Leo na kufa Leo so akifa mtu ukashangilia haipunguzi wala kuongeza kitu