🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
🔥JEZI MPYA ZA SIMBA 2026/2027🛍️
👉Bei 45,000/=
https://t.co/ngKKMdAx6O
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Mudryk statement:
After a long battle, the four-year ban that was imposed on me has been rescinded and I am free to resume my career with immediate effect.
I am grateful that this process has reached a conclusion, that I have been cleared to return to football and that I can now look ahead to my future.
This has been the most difficult period of my career.
As I have always maintained from the outset of this case, I have never knowingly or intentionally taken any banned substance. My commitment to competing fairly and representing my club and country with professionalism and integrity has always been important to me.
I would like to thank my family and friends for their support and belief throughout this period.
I also want to express my deep gratitude to everyone at Chelsea FC, my teammates and the Chelsea supporters who have been with me throughout.
I would also like to thank my legal team and others who assisted for their tireless work on my case.
My focus now is on returning to football, working hard every day, and making a positive contribution on the pitch.
Thank you to everyone who continued to believe in me. I look forward to the next chapter of my career.
Uwa nafanyaga matembezi ya hapa na pale nakutana sana na old houses hazijaisha, ila u can see the vision mtu alikua nayo.
Sijui uwa wanakufa kabla, au wanaugua, au wanashuka kiuchumi.
Kwakweli ya Mungu mengi ila tuombe karama ya kutimiza mipango na maono yetu 🙏🏼
Semaji latinga Ngorongoro
Je, uko tayari kwa countdown kuelekea Uzinduzi wa Jezi Mpya za Simba 2026/27 na Wiki ya Simba ndani ya Kreta ya Ngorongoro tarehe 1 Agosti?
Kwa siku tano zijazo, semaji atakua Ngorongoro kukuletea simulizi, maajabu na matukio ya kipekee kutoka Nyumbani Ngorongoro.
Uko tayari kwa countdown za viwango?
#ThePrideReturnsHome #SimbaSC #VisitNgorongoro #SimbaWeek #KaribuNyumbani
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Rajabu Maganya, amesema mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2030.
Maganya amesema mchakato huo hauwezi kukamilika ndani ya mwaka mmoja, lakini ameeleza kushangazwa na baadhi ya vyama vya siasa na watu wanaohamasisha wananchi kupigania Katiba Mpya kana kwamba imezuiwa.
"Ni nani aliyezuia Katiba Mpya? Ni nani amesema hakutakuwa na Katiba Mpya?" amehoji Maganya, akisisitiza kuwa Serikali na CCM hazijawahi kutangaza kuwa mchakato huo hautafanyika.
Maganya ametoa kauli hiyo leo, Julai 24, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika eneo la Sinza, Wilaya ya Ubungo.
Kauli yake imeibua mjadala miongoni mwa Watanzania, ikitolewa siku ambayo Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi, pia alizungumzia suala la Katiba Mpya wakati wa Mkutano Mkuu wa 15 wa wanachama wa watetezi wa haki za binadamu uliofanyika leo, Julai 24, 2026.
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema @nchimbie sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu anakasirika - so clearly umeonyesha ujasiri kuliko wana CCM wenzako huko ndani! Sad that we have reached so low!
Pia kuongelea Haki na kukubali hakuna Amani bila Haki na kutaka wanaharakati walindwe na kugusia kesi za kubambika na kutaka watu waachiwe ni jambo jema sana
Mwisho umetumia muda kuongelea Katiba Mpya na kutaka tupambanie
Kwa maneno haya mazuri umefanya jambo jema na wapo wengi ambao wamepata matumaini maana wamechoka na chokochoko zenu CCM na kimama chenu kutwa kuwinda na kuumiza watanganyika!
Sasa baada ya haya nataka ninyooke na mambo kadhaa maana mi si mnafiki
Kwa kifupi maneno mazuri hayatoshi kwa hapa tulipofika maana hata Samia alikuwa ana kauli positive na 4R zake ila I was not impressed!
Kwa sababu mi nathamini matendo!
👉🏽 Kuna sheria zaidi ya 40 ambazo ni kandamizi na ktk sekta tofauti zinatumika kutuadhibu na kutuumiza katika harakati zenu za kutunyamisha hii ni pamoja na sheria za Cybercrime, Takwimu, Ugaidi, uhujumu uchumi, Statistics law, NGO law nk
Bila kufuta hizi sheria mtaendelea kutupa haki zetu kama hisani - FUTENI
👉🏽 MO29 hatuwezi kuweka kando na kuongelea KatibaMpya na Maridhiano bila kwanza kukabili hili DOA kubwa! Watu waliuwawa, damu ilimwagwa kwa hiyo LAZIMA waliohusika wawajibishwe na tuambiwe ukweli - nani alihusika, miili iko wapi nk. Wewe ni mnufaika wa mauaji haya - sasa kama utaonyesha ujasiri kukubali na kuhakikisha Haki na Ukweli unapatikana hakuna mtu atakuwa na mashaka na uwezo wako kama kiongozi!
👉🏽 Katiba Mpya tunautaka ila kwa mazingira ya sasa na bunge hii hapana hatuwezi kupata Katiba Bora - so turudi kule kwenye serikali ya mpito! Rais haramu anataka hataki - we don’t care! Katiba ni Yetu wananchi! Hatusubiri mtupatie! Ila tutafurahi mkikubali kushiriki tukiwa wote sawa na si ninyi kama watawala
👉🏽 Una uwezo hata leo kuhakikisha Lissu anaachiwa na vijana na lecturers waliopewa ugaidi wanafutiwa kesi hata kesho! Wote waliotekwa kabla na baada ta MO29 akina Mdude, Polepole, Soka nk tuambiwe hatma zao na waliohusika kisha wawajibishwe wote! Mi NINAJUA ukiamua unaweza - so do it!
👉🏽 kuhusu wanaharakati - hakuna hata mmoja wetu aliyeamka na kuamua kuwa mwanaharakati! Sote tulikuwa na kazi zetu ila tuliamua kutokaa kimya kwa sababu ya dhulma! So hili si suala la sisi kujuana au kutojuana - tuamue kwa pamoja kuwa tusikubali tena mtu awindwe kwa sababu ya utofauti wa kimawazo - hata akikutukana usitumie wadhifa wako kumkomoa! Kila mtu ahakikishiwe usalama na walio nje wakiamua kurudi wasibugudhiwe! Hii isiwe hisani au ishu ya kujuana!
Mwisho kabisa mi nina trust issues na CCM maana nawajua kama vile nimewazaa!
So kujenga imani tunahitaji VITENDO zaidi kuliko maneno!
Mungu akupe uwezo wa kunielewa na kufanya yote
All the best!