Huyu kijana wa tiss anapaswa kupongezwa sana badala ya kubezwa. Sababu angeendelea kuwa mkali kuwazuia walinzi wa Kagame ngumi zingeweza kupigwa na ingekuwa aibu kubwa.
Imeshawahi kutokea mwaka 2020 Nyayo Stadium siku ya msiba wa Moi. Walinzi wa Kagame walizichapa na wanausalama
📝 Nina nafasi 50 tu, kwa wanaotaka kujifunza, internet hustling/remote working {Mentorship Practical Class}
.
Gharama ni 29,999/=, 3 Weeks Program
.
📝Kuna nafasi 5 tu, kwa wanaotaka kujifunza internet hustling/remote working { 1 on 1 Consultation}
.
Gharama 49,999/=, 3 Weeks.