@RebecaGyumi Jamani mbona trump wanatengeneza videos zake wanatengeneza cartoon zake zinarushwa had kwa TV..kwan yeye sio prezda..bhana mi hata sion logic..uongoz ni dhamana ila ifuke sehem tuish kama familia..huwezi mpiga mtoto wako kisa kakutania wewe baba..noo