Asante Puma Energy Tanzania na @AirTanzania kwa ziara hii kwa watoto wetu na walimu wa shule mbalimbali za Msingi Kisarawe. Mwanafunzi moja akasema yeye anapenda kuwa rubani. Tuache watoto wetu wawe na ndoto. Asanteni kwa kuwapa wanafunzi wetu elimu juu ya sekta hii ya anga.
Asante Sana OP Kambarage Tar 14/09/18 niliwaomba tushirikiane katika kujenga ukuta uwanja wa Ruvu Mabatini na jana mmenikabidhi mashine ya kufyatulia tofali na nimepokea kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani chini ya uongozi wake uwanja unaenda kubadilika kwa mara ya kwanza ππ½ππ½ππ½ππ½
Asante Sana OP Kambarage Tar 14/09/18 nilivyokuja kumwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani kama Mgeni Rasmi kwenye kuhitilisha mafunzo ya kwa mujibu wa sheria niliwaomba tushirikiane katika⦠https://t.co/bERPVj5tb6
@jokateM Matukio ndio hubadilisha mitazamo na huvunja baadhi ya imani ambazo hazigusiki wala kuhojika. Pongezi kwa kulitumia tukio hili kuchagiza mabadiliko. Huo ndio uongozi. Uongozi ni kuchagiza mabadiliko ya fikra na mifumo.
Zaidi nampongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Museru na Daktari bingwa wa watoto Dkt. Petronila kwa kufanikisha oparesheni hii ya kihistoria na pia kwa kuwahudumia watoto kwa muda wote huu bila wazazi kulipia na kusema wataendelea kuwapa matibabu.