Angalia hii ripoti ya UCHUNGUZI kuhusu UTEKAJI ambao umefanywa na WAANDISHI WA HABARI wa kituo cha "KTN" hapo Kenya.
Yani waandishi wapo huru kulikosoa Jeshi la polisi kuhusu UTEKAJI na unaona muandishi anafanya kile anachokipenda kwa WEREDI.
Hapa ndio wale waandishi wa story za "UCHUNGUZI" wanaona fahari kufanya kazi yao wanayoipenda na kuiwasilisha kwenye jamii.
Lini uliwahi sikia UANDISHI WA HABARI kama huu kwenye media zetu Bongo?
Taifa limetekwa hili..!💔
Leo Wanaharakati wa Kenya wameandamana hadi Ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru @TunduALissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya.
Wanaharakati wa Kenya wamesema @kizzabesigye1 alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na kufunguliwa mashtaka ya UHAINI.
Wanaharakati hao wametishia kufunga Balozi za Tanzania na Uganda katika maandamano yajayo leo wametuma salaa tu.
REPOST 200
Wakenya (Wenye NCHI) wametoa siku 7 Kizza Besigye (Uganda) na Tundu Lissu (Tanzania) waachiwe huru.
Kinyume na hapo BALOZI za "Tanzania & Uganda" zilizopo Kenya watazifunga.
Huu ndio undugu-asanteni Familia.🇰🇪
REPOST 200
@Sativa255 SEREKALI HARAM INAKULA MIJIHELA KILA CKU NDULI ANASEMA WAZOMEWE WAONE AIBU NA SISI HECHE TUSHAMZOMEA AIBU MNAONA NYIE MATAKO YENU..🚮 SISI TUNASIMAMA NA M/RAIS AJAE ....!💪
🚨🗣️ 𝗡𝗘𝗪: Mexico goalkeeper Guillermo Ochoa responds to Cristiano Ronaldo’s claim that the World Cup is just a ‘seven-game tournament’ ahead of Mexico’s clash with South Africa:
“Seven-game tournament? That’s like calling Mount Everest a short walk because it only takes one climb.
Cristiano can say whatever he wants, but the World Cup is the one stage where football stops being a sport and becomes history. Billions watch. Nations stop. Generations remember.
And let’s be honest, these comments didn’t appear from nowhere. Funny how the tournament became ‘just seven games’ after Messi lifted the trophy. Before that, every great player dreamed of touching it. After Messi won it, suddenly it’s being treated like a weekend cup competition.
The World Cup is football’s crown jewel. You don’t shrink the crown because someone else wears it.
Some trophies decorate a career; the World Cup defines eras. That’s why people still talk about Maradona, Pelé, Zidane, and now Messi through their World Cup moments.
If the World Cup is only seven games, then why do legends spend twenty years chasing those seven games?
To me, this sounds less like analysis and more like a man arguing with his own shadow. The trophy he couldn’t catch is now being measured with a smaller ruler.
Ronaldo is one of the greatest players ever. But when you call the World Cup a seven-game tournament, it feels like sour grapes served in a golden cup.”
Whats’up @rioferdy5
You are most welcome to our beautiful country, Tanzania. A country rich in natural resources, yet its people are wretchedly poor and do not benefit from the resources in their own country.
Tanzania is the literal definition of the resource curse. Those who brought you here, will show you our God-given natural wealth, but they won’t show you how poor ordinary Tanzanians are.
Those who brought you here can’t tell you the other side of the crimes against humanity they deliberately committed against citizens who decided to protest to oppose the electoral process.
Security forces in Tanzania utilized disproportionate, deadly violence to quell post-election unrest, causing deaths and injuries to non-protesting citizens. Completely uninvolved individuals.
They are concealing the fact that on October 29, 2025, they intentionally shot and killed several people, among whom were seven youths from the Viral Scout Management football academy.
In a poignant post on its verified X handle, the sports consultancy firm based in Dar es Salaam mourned the heartbreaking deaths of seven rising football stars, while firmly issuing a call for justice.
Viral Scout Management has confirmed the tragic loss of seven of its young football players, who died during the widespread violent clashes that broke out after Tanzania’s disputed general election.
These promising athletes lost their lives to senseless violence within their own homes. It is a profound tragedy to see such bright futures cut short by such brutal acts. It’s unacceptable.
Tragically, there have been instances where Manchester United fans were brutally killed, including one documented case where mortuary photographs showed a victim still wearing a vintage SHARP jersey.
Even back in your neck of the woods, whether in Camberwell, South London, or up in Manchester, United Kingdom, people don’t get shot and killed just for protesting a fraudulent election.
Last week, your hosts brought Didier Drogba and paraded him everywhere. Now it’s your turn. They’ll likely parade you around just as much all in an attempt to launder their global reputation.
Log this information, RIO.
#FreeTunduLissu
Msione Bi Msumi anaropoka presha ni kubwa! Hawana pa kutokea!
Sitashangaa na leo au wiki hii wakijaribu kumpeleka Lissu kimagumashi mahakamani maana wanaogopa hii audience 👇🏾
Ushauri: wiki hii wananchi wa Dar kaeni standby - tukinusa tu jaeni hapo! Wanataka Lissu awe isolated
Na si mnajua nikiwaambia kitu siongei bahati mbaya!
#TutaelewanaTu
KWANINI BADO WATU WENGI WANASHINDWA KUANZA KUWEKEZA AU KUFANYA BIASHARA?
Kwanini wengi hawaanzi kuwekeza?
1. Unapoaambiwa “returns” za 10% - 15% kwa mwaka unaona ndogo sana. Unasubiri returns za ku “double your money” in 1 year. Utapigwa.
2. Unahisi fedha zako ni ndogo. Fahamu kuwa, “Ahuhitaji utajiri kuanza, ila unahitaji kuanza ili uwe tajiri”. Unaweza kuanza hata na elfu 10 kununua hisa, baadae ukaendelea kidogo kidogo. Kwenye App ya @shirkah_invest ,kima cha chini ni elfu 50 tu
3. Unalinganisha biashara na uwekezaji (Apple-Orange comparison syndrome), una compare biashara ya vifaa vya umeme kkoo na kuwekeza hisa. Kila kimoja kinajitegemea na kina nafasi yake, wazungu wanasema hii siyo “zero sum game”.
4. Unachambua sana (analysis paralysis) - muhimu kuchambua ili ujilizishe kama uwekezaji ni legit na sio ponzi scheme
5. Unataka “guarantee” ya pesa zako. Hamna uwekezaji wa guarantee, isipokuwa kuna unawekezaji wa “high and low risk”.
Kwanini unashindwa kuanza biashara?
1. Una wazo unataka mwekezaji. Anza kwanza, mwekezaji anakuja bdae huko. Usipoteze muda na pitch deck.
2. Unataka uanze ukiwa una kila kitu - we anza na ulichonacho na unachoweza kufanya. Unaweza ukaanza hata kama broker/agent, baadae ukaanza kuuza mzigo wako.
3. “Research” zisizo isha. Fanya “basic research” kupata taarifa muhimu, then anza
4. “Fear of failure” - unaogopa ku fail. Wewe take precautions, minimize your failure risks, anza mdogo mdogo.
5. Fursa ni nyingi hujui uanze na kipi - pick what you are good at, that has commercial value and sizeable market. Usiyumbishwe na story za biashara ya kupeleka nzi Japan.
Kumbuka
“Asiye anza hakui” - SA
Wasukuma Hashtag wanamtetea Mama yao wa Kambo kwamba Aliteleza kwa bahati mbaya hivo hatupasi kulifanya hilo suala kuwa ajenda
Ukweli ni kwamba Ndio aliteleza Mara ya kwanza na akajua kuwa kateleza akarekebisha kutoka Euro 6000 na 8000
Mpaka Euro 600 na 800
Hii inamaanisha Hana ufahamu wala Uelewa wowote kwenye Jambo analoliongelea yana anaropoka tu tena kwa ujasiri
Tukiwaambia Mama enu wa Kambo ni kilaza Muwe mnaelewa , huwezi kusoma Elimu Ya uchumi wa Pakistani uje uaply kwenye uchumi wa Tanzania
Hilo ni suala dogo sana mtu kama yeye kutokuwa na uelewa nalo.
Repost 560
Let me give you four numbers. 101. 24. 93. 100. The first is the points Kompany's Burnley accumulated winning the Championship in 2022/23. The second is the points they collected getting relegated from the Premier League the following season. The third is the goals Bayern scored under him winning the Bundesliga in 2024/25. The fourth is the Bundesliga goals Bayern have already scored in 2025/26, with six games still to play. One manager. Four numbers. One of the most unusual managerial careers in modern football.
101. Burnley won the Championship by ten points, scored 72 goals, and played football so attractive that Tottenham came calling that summer. Kompany turned them down. You know what happened next.
The 24 is where Komoany went to rockbottom.. The same manager with the same system and same philosophy but with different quality of opponent. The Premier League exposed every limitation in that Burnley squad and Kompany refused to adapt. He finished his second season as head coach in 19th place and with 24 points.
You won't believe that despite the relegation on his CV, Bayern Munich then paid £10.2 million in compensation to hire him.
93. In his first season, Bayern lost only twice all season and won the Bundesliga at a canter.
Then this season, Kompany added Luis Díaz to a forward line already containing Harry Kane, Michael Olise, and Jamal Musiala. Kane leads Europe with 47 goals in all competitions from 39 appearances. Olise leads Europe for assists with 25. Díaz has contributed 22 goals and assists.
Bayern have already equalled the 2019/20 treble-winning side's Bundesliga goal tally and are one goal from the all-time single-season league record of 101, set in 1971/72, with six games remaining. They will break it. They also set the outright record for the most consecutive wins to start a European season, winning their first 16 competitive games.
The Premier League did not break him. It showed him exactly what his system needed to work and Bayern gave him that.
He used that to beat Real Madrid 2-1 in the first leg of the UCL Quarterfinal today.
So I ask- ARE YOU NOT ENTERTAINED?
My name is Ajoje. I am a FIFA Licensed Agent and International Sports Lawyer. I write on the Law and Business of Football, a lot. Repost and Follow if you want to read more posts like this.