Top 100 CIA and FBI movies to watch.
1. Zero Dark Thirty
2. The Bourne Identity
3. Argo
4. Syriana
5. Tinker, Tailor, Soldier, Spy
6. The Silence of the Lambs
7. Heat
8. The Departed
9. Catch Me If You Can
10. Sicario
11. Patriot Games
12. Clear and Present Danger
13. Body of Lies
14. Munich
15. Jack Ryan: Shadow Recruit
16. The Good Shepherd
17. The Recruit
18. Spy Game
19. The Sum of All Fears
20. Three Days of the Condor
21. The Company
22. The Day of the Jackal
23. Ronin
24. The Manchurian Candidate (2004)
25. The Hunt for Red October
26. Spy Game
27. Breach
28. The Insider
29. Safe House
30. The Sentinel
31. The Falcon and the Snowman
32. The Falcon and the Snowman
33. The Constant Gardener
34. Confessions of a Dangerous Mind
35. Charlie Wilson's War
36. The Debt
37. The Good Shepherd
38. The Tailor of Panama
39. American Made
40. No Way Out
41. The Parallax View
42. The Double
43. The Ghost Writer
44. Proof of Life
45. The Odessa File
46. Eye of the Needle
47. Clear and Present Danger
48. Spies Like Us
49. The Russia House
50. GoldenEye
51. The Eiger Sanction
52. The Interpreter
53. The Matador
54. The Hunted
55. The Assignment
56. The Good German
57. The Human Factor
58. Black Book
59. The Quiet American
60. Confessions of a Dangerous Mind
61. The Good Shepherd
62. The Tailor of Panama
63. The Day of the Jackal
64. Munich
65. No Way Out
66. Proof of Life
67. Eye of the Needle
68. Spy Game
69. Breach
70. The Debt
71. The Falcon and the Snowman
72. GoldenEye
73. The Interpreter
74. The Hunted
75. The Good German
76. The Assignment
77. The Russia House
78. The Eiger Sanction
79. Black Book
80. The Quiet American
81. The Constant Gardener
82. The Ghost Writer
83. Safe House
84. The Sentinel
85. American Made
86. Spies Like Us
87. The Matador
88. The Human Factor
89. The Parallax View
90. The Double
91. The Insider
92. The Sum of All Fears
93. Ronin
94. The Manchurian Candidate (2004)
95. The Day of the Jackal
96. The Day of the Jackal
97. Proof of Life
98. The Odessa File
99. Eye of the Needle
100. Spies Like Us
Website nyingine ni .
i) deep dream generator(https://t.co/VsXJQwp25X)
ii)Runway ML (https://t.co/P98tsjOHY7)
iii) https://t.co/esj4AgwjgL ntc.
Nafikiri kuna website nyingi sana but ninachojaribu nikuwaamsha kila siku technologia inavyochange.. kuwen ready kupata update zaid.
Maswali (5) ya kipekee ya kuuliza wakati wa usaili wa kazi:
1. Mnaweza kunieleza zaidi kuhusu majukumu ya kila siku nitakayoshughulika nayo?
- Swali hili litaonyesha shauku ya kujua kuhusu aina ya majukumu utakayoshughulika nayo na kile ambacho kampuni inatarajia kutoka kwako.
NDOTO ZINAZOSUMBUA WATU KWA KUJIRUDIA-RUDIA NA MAANA ZAKE.
Sehemu ya 1.
#UZI ๐งต
Kabla ya Yote, like na Repost kisha tuendelee.
Ndoto ni mlango au njia ya mawasiliano kati ya mtu na ulimwengu wa Roho.
Na ni hali inayompata mtu akiwa usingizini sana, ambapo huamishwa kutoka katika ulimwengu huu wa damu na nyama na kupelekwa katika ulimwengu wa roho na kuona mambo yaliyopo na yanayoendelea huko.
Kuna Uzi niliandika kuhusu aina za ndoto, maana ya ndoto na mambo ya kuzingatia ukiota ndoto yenye viashiria flani. Nimeweka link mwisho wa UZI huu utapitia usome.
Turudi kwenye Mada yetu; Hizi hapa ni baadhi ya ndoto ambazo watu huziota mara kwa mara na maana zake.
1โฃ KUOTA UKO SHULE/CHUO AU UNAFANYA MTIHANI.
Ndoto hii huwapata watu wengi ambapo huota wako shule ya msingi/Sekondari na mara chache chuo. Wengine huota wanafanya mtihani au wanafika shuleni siku ya mtihani alafu wamechelewa.
MAANA YAKE;
Hii ndoto ina maana kubwa ya kwamba kuna mahali umekwama kimaisha/kimaamuzi/kiuchumi/kiroho/kimaendeleo.
Kuota unafanya mtihani au umechelewa chumba cha mtihani maana yake. Unahitajika kupanda daraja (mtihani ni kipimo cha uwezo kabla ya kwenda daraja lingine) lakini bado hujafuzu kuvuka hapo.
NINI UFANYE?
Ndoto kama hii inakukumbusha ulipokwama, unachotakiwa kufanya ni kujichunguza ni wapi kwenye maisha ulipokwama, ili uweze kujinasua.
Kama umeshindwa kutambua ulipokwama umaweza kuingia kwenye maombi na kumuomba Mungu akupe mafunuo ni wapi ulipokwama ili uweze kujinasua.
2โฃ KUOTA UNAKIMBIZWA NA NYOKA.
Nyoka kiroho ni ishara mapepo, majini na Mfalme wa giza pia ni ishara ya shetani mwenyewe.(nyoka mwenye vichwa 7)
MAANA YAKE;
Unapoota unakimbizwa na nyoka tambua kuwa hiyo ni vita na mashambulizi yanakuandama toka ufalme wa giza.
NINI UFANYE?
Hakuna kingine zaidi ya kuingia kwenye maombi na kuomba nguvu za Mungu dhidi ya vita hiyo.
Jambo la kushukuru Damu ya mwamakondoo inatushindia.
๐๐พ Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.
โUfunuo 12:11 SUVโ
3โฃ KUOTA UNAKIMBIZWA NA NG'OMBE DUME AU MWENYE PEMBE.
Ng'ombe, Mbuzi, Kondoo, Pembe hizo zote ni ishara ya ufalme/milki au mamlaka flani.
MAANA YAKE;
Unapoota ndoto ya namna hiyo tambua uko vitani na ufalme au mamlaka flani, inaweza kuwa kazini, nyumbani au hata falme za wachawi.
NINI UFANYE?
Kama kawaida ni kuingia kwenye maombi ya vita dhidi ya ufalme huo.
๐๐พ Angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kungโoa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.
โYeremia 1:10 SUVโ
Kwaiyo kama vita inatoka kazini nyumbani au sehemu yoyote tambua na wewe Mungu amekuweka hapo kwa kusudi lake dhidi ya falme hizo ili uziharibu.
4โฃ KUOTA UNAKIMBIZWA LAKINI HUONI KINACHOKUKIMBIZA.
Kiroho kukimbizwa ni ishara ya kutengenezewa hofu, kushindwa vita, kuandamwa na maadui.
MAANA YAKE;
Kuna vita zinakuandama na unahitaji msaada ndio maana unakimbia kwaajili ya usalama wako.
NINI UFANYE?
Ni kumuomba Mungu nguvu na ulinzi dhidi ya vita hizo.
๐๐พKila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.
โIsaya 54:17a SUVโ
5โฃ KUOTA UNAKIMBIZWA GHAFLA UKANYAKULIWA ANGANI AU UKAPATA MABAWA UKAPAA MBALI.
Kukimbizwa maana ni ile ile.
MAANA YAKE;
Unapoona ulikua unakimbizwa ghafla ukanyakuliwa ni ishara kuwa Mungu yupo upande wako na anatuma msaada kwaajili yako kuhakikisha unakuwa salama.
NINI UFANYE?
Jambo kubwa ni kumshukuru Mungu kwa msaada wake juu yako. Lakini unatakiwa kuendelea na maombi na kumuomba Mungu azidi kuwa upande wako akupiganie.
6โฃ KUOTA UNAANGUKA KWENYE SHIMO REFU.
Kuanguka kiroho maana yake ni kifungo au kufeli. Na shimo linaweza kuwa na maana ya Kuzimu, kifungo chenyewe au uraibu(madawa ya kulevya, pombe, zinaa, tamaa nk)
MAANA YAKE;
Unapoota hivyo ni ishara kwamba umetumbukizwa au umejitumbukiza kwenye kifungo/umefeli, umetumbukia/unatumbukia kwenye uraibu flani.
Jinsi ya kufungua verified stripe account ukiwa Tanzania ambayo unaweza kuitumia kupokelea hela
https://t.co/E3EhxXC1RC
Next
1. Credit card selfclick kwenye CPA network