@PMadeleka Hivi wakili msomi umefikia hatua hii? Kwanini unataka kuwashawishi askari kwa land cruiser na ghorofa na sio wananchi kuwa na maisha bora? Leo hii unataka polisi ndio walinde kura na sio katiba? Sitak kuamini kama ndio wewe ila nimeamini siasa ni zaidi ya madawa ya kulevya.
@zittokabwe@HecheJohn Hakuna takataka kuzidi hayo mnayoyafanya, leo nyie ni wa kuahidi Land Cruiser na ghorofa kwa askari na sio maisha bora kwa wananchi. Kwann askari? Ili muwatumie kufanya upuuzi. Ulishaonyesha huo u-takataka kitambo ndio maana wengi hawana time na wewe.
@HecheJohn Sasa kwa kiswahili kile chepesi wakili kashindwa kuelewa je huko nje ambako kiingereza ni cha puani ataelewa nn? Hao watu weupe sana ni vipe wana mwavuli wa serikali tu.
Jana utafikiri mawakili wa serikali ndio wameshtakiwa, TAL alikuwa anawafundisha kwa miongozo
@PMadeleka@TuliaAckson Acha wakaze mafuvu yao, mida sio mrefu wataanza kutoa milio taratibu. Wanajisahaulisha kila wakati wanapeleka bakuli huko ulaya kuomba fedha ya miradi
@_zack255 Je hizo laana zilishawahi kumkuta nani? Kinachotakiwa ni kuthibiti na kukomesha vitendo vya aina hiyo sio kila wakati mnalaani.
Je nan alishawahi kujitokeza na kusema laana hizo zimemkuta/kumuathiri?
@EdwardCosseny @mangid01 @lifeofmshaba Kwa hiyo siku hizi kuna watu maalum wa kusema ukweli? Sasa kama akili ya dokta imefikia hapa kuna tofauti gani na wanaotibiwa mirembe
@Labella_Mafia95 Hadi WP kainamisha kichwa, ujue sindano imepenya. Sasa hv ni kuwachana ukweli tu hata huku kitaani tukikutana nao, zamisha sindano kweli kweli.