@Baradhuli2 Huu ndo ujinga unaouendekeza na kuupenda maana chuga ya zamani ilikuwa ni ya kudai mambo ya msingi ila tokea mduanzi aingie chuga tu ujinga ndo umekuwa ujanja so acha iwe kama ilivyo sababu ndo njia mliochagua aiseee.
@PolycarpMDM Hawa wanafanya makusudi yaan nikuwapiga bomu la machozi wataondoka wenyewe.
Kwan sehem za ibadan hakuna mpaka wakafanye ibadan barabarani.
@rose_mayemba Ni nan mwenye mamlaka ya kulinda na kusimamia sheria na taratibu zetu?
Je ni halali kwa mtu kuunda kikundi kisicho rasmi ili kusimamia sheria kanuni na taratibu za nchi?
Nan anatakiwa kuchukua hatu?