@brokensuit44 flatbed manade........................ukiweza tafuta TATA tipper, jaza foam ndani alafu weka machine uko ndani weld the top opening alafu ambia dere max speed ni 35 na hiyo ni after ameingia 2 lane carriage way pale machakos junction.........
@brokensuit44 hakuna msee anatafuta "haki" ya huyo msee..........wamepata chance ya kuangusha lookie na wameichukua in full swing................wivu and hatred itamaliza watu wengi hii nairobi
@likklebruv wivu na umaskini.................hakuna accountability watu wanatafuta..............ni chance ya kuangusha mtu wamepata na wanaichukua in full swing,,,,,,,,,,,,,