@cw_pedro@joeselasini@jjmnyika Hii haihitaji rocket science kung'amua.. ni smearing campaign na ni kazi chafu ya mfumo uliooza wa Nchi. Nchi kiongozwa na akili ndogo (if at all they have got it) ndo matokeo yake haya..
@ezekiel_kamwaga Wakati Fulani tukiwa shule ya Sekondari,(Tabora School Special School), tuliamini watu wenye vichwa vikubwa ubongo una charge sawia sababu ya TO mmoja alotutangulia.. Later I came to realize it's a fallacy. Mabumunda mengi Yana vichwa vikubwa. One of such a case ni wewe.
VIDEO:
Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa ili taifa lioneshe kuwa na usalama wa taifa lazima lijengwe kwenye misingi au nguzo tano ambazo ni heshima kwa katiba, uhuru wa taasisi za umma hususan mahakama na bunge, usawa mbele ya sheria, ushindani wa kisiasa ulio huru na wa haki, na uwajibikaji wa serikali
Mchungaji Msigwa ameyasema hayo katika mahojiano maalum na Jambo TV ambapo ametoa wito kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kurudi katika misingi ya Mwalimu Nyerere ambayo ilihimiza utu, haki, usawa, na uzalendo wa kweli kwa vitendo akidai vitu hivyo kwa sasa havipo, na badala yake vimeishia kwenye maandishi ya makaratasi pekee.
ISRAELI SPIES INSIDE IRAN’S REVOLUTIONARY GUARD SPEAK OUT
Israeli Channel 14 announced it will soon air an interview with several Israeli spies who reportedly operated from within Iran’s Revolutionary Guard, selling documents and intelligence.
A teaser for the upcoming program has been released, with the full interview set to air soon in Israel.
This is gonna be reallly goood.
@c14english
@MariaSTsehai Bibi aliyekalia kiti si mzalendo. Haipendi Tanganyika yetu. Yupo radhi afanye genocide alimradi kiu yake ya kulimbikiza Mali itimie.
Anachofanya ni militias assembling. Hii ndo legacy yake. Itasomwa kwenye historia ya Taifa letu. Janjaweed wa kwanza kuwahi kutawala Kwa mtutu.
@InexorablesoG This thing believe me, ikija tokea TUME HURU YA UCHUNGUZI, hata baadhi ya waajiriwa wa vyombo vya Usalama, watatoka kuja kusema UKWELI. Muhimu tu walindwe. Huyu aloidhinisha hatoamini macho yake. Jinai haiozi.
@MiroTanzania Epur si muove!
Dunia inazunguka ndugu. Uzee utakusogelea punde, wewe au wazazi wako. Na at some point uta/watahitaji huduma ya jamii. Tenda wema uende zako. Ama kaa kimya, don't spew your garbage.