@koku_shekya ULIMWENGU WA GIZA HAUFANYI KAZI KWA NAMNA MNAYODHANIA, MTU KUMROGA MWANAE WA KUMZAA NI KITU KINATOKEA TENA MTOTO ANAYRMPENDA, KUTANA NA WACHAWI WALIOOKOKA WAKUSIMULIE. ZIKO SHUHUDA NYINGI SANA ZA AINA HIYO
@PKunjega1_ Wiki mbili ni STORY PEP unakunywa mwezi mzima na sio wiki mbili, ni dawa anazokunywa mtu anayedhani amepata maambukizi, manesi na madaktari wanazitumia sana mfano umejichoma na sindano iliyotumika, umeng'atwa na mgonjwa wa HIV etc
@chapanombombwi@WilliamsRuto Huyo ni Billionaire Wicknell Tchikayo kutoka. Zimbabwe, yeye kuingia Ikulu ni kama Mimi kwenda Mjini kutembea, nadhani ameshaonekana pichani na Marais zaidi ya 10 wa Africa wakiwemo Samia, Ruto, Haikande, Mnangagwa etc. Kwa kifupi ni Ntu ya Dili kubwa kubwa