Ninaumwa sana na ninanapitia wakati mgumu sana. Sijui ni kwanini tu huyu Mungu kaamua kunipitisha kwenye magumu yote haya.
Farasi Huwekwa Tayari Kwa Siku Ya Vita Lakini Bwana Ndiye Aletaye Wokovu. (Mithali: 21;31)
Pray For Me.🙏
Kwenye ile podcast nimejifunza kumbe njia niliyochagua kuishi ni sahihi. Yaani me utanikuta Airport VIP, kwenye daladala, kwenye bodaboda, bajaji, treni
Unaishi maisha yako uwe nazo ama usiwe nazo. Huwezi pata stress ukiwa chini
Kinachotusumbua ni kutaka KUKOMESHA. Kuset BAR Juu
Bro to Bro:
You grind for years with nothing to show. Family thinks you're crazy. You lose friends. Then, one year, everything explodes.
All those wasted years suddenly make sense. Your breakthrough is coming my boy
Kuswallow pride kuna raha yake sana nakumbuka wakati tunapiga kazi za mjengo na wadau kuna mwanetu mmoja alikuwa graduate wa Muhimbili pale ana bacherol ya pharmacy ila akawa anapiga kazi za saidia fundi hajisikii wala nini.
Kuna siku tukakabidhiwa kazi za kujenga apartments za mheshimiwa mmoja mkubwa tu tukiwa site yule mheshimiwa akawa amekuja kuzikagua kuona tulivofikia akatukuta tunamfinya mchawi yule mheshimiwa ni mtu poa sana akaja kutusalimia na kutaka kutujua majina yetu na tunapotokea.
Ilipofika zamu ya mwamba nae akajitambulisha akapenyeza na kuwa kuwa kasoma Muhas hapo dizaini mheshimiwa kashtuka hivi wakabadilishana mawasiliano the rest is history.
Mwana sasa hivi yuko TMDA pale anajilia marupurupu kama mpumbavu📌
Classes That SHOULD Be Mandatory in High School:
• Taxes
• Investing
• Real Estate
• Negotiating
• Basic coding
• Building credit
• Microsoft Excel
• Personal Finance
• Entrepreneurship
• Time Management
• Money Management
💼Business Boosters✅️