Never tried any challenge before but am gonna try my lucky on this one.. I have been wishing to read this poetry Book ๐ and here is a chance for me to get the book...
Pls kindly Retweet this tweet only 25 Retweets needed. Thank you ๐
Uongozi, wafanyakazi na familia nzima ya Raleigh Tanzania inapenda kuwapa pole watanzania wote kwa kuondokewa na rais wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa. Atakumbukwa kwa kazi kubwa alizozifanya kwa taifa letu la Tanzania.
Photo credit: @RasheedHRasheed
Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Mhe! Benjamin William Mkapa. #ASRoma inatoa pole kwa familia yake, ndugu zake, marafiki na Taifa la Tanzania kwa ujumla. #RIPMzeeMkapa ๐น๐ฟโค๏ธ๐๐
Lengo letu kubwa kama Kidumu Chirizi Project,nikuhakikisha utamduni wa kunawa mikono kwa jamii zetu kupitia Kidumu chirizi unakuwa endelevu mpaka vizazi na vizazi na isiwe tu kwa COVID-19 bali na magonjwa mengineโฆ https://t.co/Gub8s7iatd