*Zaburi 51: 1-3*
Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
๐จ๐๐ถ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฒ ๐ธ๐๐ผ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐บ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฌ๐ฒ๐๐
"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao." 2 Mambo ya Nyakati 7:14
Tafuta maisha lakini usisahau kuishi maana haujui kitakachotokea katika dakika inayofuata, siku kadhaa, miezi, au miaka, kwa hiyo ishi maisha kikamilifu, Kuwa na shukrani kwa baraka zilizo karibu yako, acha kupoteza muda kwa mambo usiyoweza kudhibiti
UCHUNGUZI: Hii ni sehemu ya Uchunguzi uliofanywa na Crown Media madai ya Askari wa wanyama pori kupiga, kutesa watu na hata kuwaibia mifugo yao.
Producer: @Salym
Visual Editor: @_Jackiejay26
Mwandishi: @mackriners
Drone Pilot: @andrepol255
Habari kamili unaweza itazama YouTube ya CROWN MEDIA: https://t.co/IXdv9UXdA4
#HapaNiNyumbani #CrownHabari
Kuna Wakati Walipitia Magumu Sana Kwenye Maisha Yao Ya Utafutaji Lakini Hawakukata Tamaa Na Walionesha Tabasamu Kwako
Kwenye Harakati Zako Usiwasahau Wazazi Wako๐
Hapa hatukanwi raia wa kawaida ila ni serikali na intelijensia yake iliomuacha huyu jamaa anatapeli watu kwa mgongo wa Iman.
@tanpol hawa watu bado wapo wengi tu wanaendelea kutapeli watu