Inakuja siku, Wasiotujua, majibu ya Dua zetu wataita BAHATI.
Wasiotufahamu, matokeo ya jasho letu, watasema TUNABEBWA.
Wasiotupenda, riziki itakapokuwa upande wetu baada ya msoto, watahusihanisha na USHIRIKINA.
Wasichokijua ni Mungu ndie aliyeshika kalamu ya ndoto zetu.๐
UMEOA? Jivunie mkeo/mwanamke wako, 'Feel Proud Of Your WIFE' na kamwe usione hatari kumsifu mbele ya Macho yake, usijiulize mara MBILI kusema "NAKUPENDA MKE/MPENZI WANGU MZURI"
Tambua, amefanya maamuzi ya kusafiri na wewe kwenye safari ndefu ya maisha; hakuona mwingine huko pembeni ambaye angeweza kutembea katika safari hiyo, isipokuwa wewe, Mume wake.
Ameacha ndugu zake wa damu, sio kwa sababu wewe ni ndugu yake zaidi ya wengine, hapana, kwa sababu amekuchagua wewe kuwa sehemu ya kwanza ya watu wake wa muhimu zaidi. Anaishi na wewe sasa.
Ameamua kumuacha mama yake aliyembeba tumboni, akaleta ulimwenguni, akamlea na kumnyonyesha maziwa yake, amemuacha baba yake pia, ameamua kukufuata wewe mume wake.
Ameamua kuwa sehemu ya maisha yako, ameachana na marafiki zake huko, sasa wewe ndie ambaye utampangia ratiba zake, utamulekeza na kumfahamisha namna sahihi nyingine ya kuishi, Wewe mumewe!
Alipokuwa kwao, alikuwa na aina ya vyakula ambavyo alikuwa akivipenda, ameishi akivitumia lakini sasa yupo kwako, analazimika kupenda chakula ambacho wewe (mumewe) unapenda, unachagua kula nini, nae atakula!
Ameamua kuchanganya matamanio yake na yale ambayo wewe (mume wake) unapenda. Atalazimika kupenda hata kutazama Mpira wa miguu, wakati Mwanzo hakuwahi kuwa shabiki kabisa.
Umemuoa sasa, hakutumikii wewe pekee, anawatumikia hadi wazazi wako. Kuna wanaume wakioa, wanaendelea kuishi kwao, hivyo mwanamke huyu atalazimika kuwa sehemu ya shughuli za nyumbani kwenu.
Atashiriki kwenda shamba, atashughulika kupika na kufanya shughuli za nyumbani kwenu, chakula atakachopika, watakula wazazi wako, wanao na wewe pia. Mkeo, ameamua kuwatumikia!
Mama watoto wako huyu. Amekubali kubeba mtoto/watoto wako tumboni miezi tisa. Huyu ni mtu wako muhimu. Sio kila mwanamke anaweza kukubali kuwa mama wa watoto wako, mshike huyu, usimuache aende zake!
Mkeo, Pamoja na kwamba anao ndugu zake wa damu kwao, lakini kwenu atawajibika kuwapenda kaka na dada zako, atawajibika kuwaonesha upendo wa dhati machoni, kwa matendo, atafanya yote haya, kwa ajili yako.
Mkeo, ndie rafiki yako wa kwanza, ndie ambaye anabeba siri zako za ndani na nje na kuziona kama zake. Anawajibika kuwa rafiki yako 'by-defaults' na atapaswa kuwa rafiki mwema! Mkeo ni swahiba wako nambari-wani!
Mara nyingine, mwanamke huyu atasahau au kukosa kabisa muda wa kujitazama na kujali mahitaji yake, kwa sababu muda mwingi anautumia kuifanya familia yake (wewe mume wake ukiwepo) kuwa na furaha na amani.
Anachukua jukumu la kuwatunza wanao. Atawapa mahitaji yote. Atawapikia chakula, atawafulia nguo, atawapikia chakula, atawabembeleza walale, atawasaidia 'homework' na asubuhi atawaamsha kwenda shule.
Kama wazazi wako wapo nyumbani kwako, aidha wanaishi hapo au wamekuja kusalimia, mkeo Anawajibika kuwashughulikia na kuwahudumia, wapate mahitaji ya lazima kama KULA na KULALA..
Fikiria wewe ndie ungelikuwa katika nafasi yake na uone kwa jinsi gani ingelikuwa ngumu. Pamoja na yote hayo magumu, anawajibika kuwa na furaha muda wote, maana anaogopa kuonekana ni watu mwenye kumiliki KIBURI.
Wakati mwingine ameumizwa. Ndio! Wakati mwingine amekerwa sana na mambo kadhaa kwenye familia yako au kutoka kwako, lakini anawajibika kuwa na furaha usoni, anaogopa kuonesha hadharani, ana hofu kukupoteza!
Wanawake wengi wanapoumizwa, wanaamua kubaki kimya, wanakaa kimya. Sio kwa sababu wanapenda kuwapa adhabu waume zao, laa! Hasha, wanajukumu la kulinda ndoa zao, wananyamaza kimya!
Wanayo hofu, wanawake wengi wanaishi kwa hofu hata wakipata maumivu, hutulia kimya, maana kwa hasira wanaweza kuongea maneno makali ambayo baadae watayajutia na hata kuharibu mahusiano yao.
Anatakiwa kuwapenda wadogo kwenye familia na anatakiwa kwa wakati huo kuwapa heshima kubwa watu wazima kwenye familia yako. Anatakiwa kuwatumikia wewe na familia yako, kiwa sehemu yenu.
Sasa, ni wakati wa kufikiri kumfanya mkeo kuwa MALKIA sio kufikiri jinsi ya kumuudhi na kumkera. Muoneshe unamjali. Mfanye kipaumbele chako sasa.
"Try the knight-in-shining armor bit instead of the i-know-I'm-in-the-doghouse bit. But take a 'risk' and slay a few dragons and kill a few spiders and take out the trash... Not in apologetic way, but in a "you're my princess" way"
Hii ni falsafa ya 'kiskotishi' katika mapenzi. Wanaume tuitumie sasa! Tujivunie kuwa na watu hawa katika maisha yetu, tuwafanye kuwa 'wapendwa' wetu sio watumwa wetu!
Mkeo, hadi kutoka kwao, ameamua kuwa nawe kwa dhati kabisa ya moyo wake (sio wote katika eneo hilo), ukipata mke mwema, umebahatika, shukuru maana sio wote wenye bahati kama yako!
Martin Maranja Masese, MMM
Nikikumbuka vita ya israel na palestina watu kidogo tupigane humu kila mtu analia na upande wake
Leo congo ni jirani zetu hata kwa mguu tunafika hakuna mtu anataka kuona wala kuongelea
Afrika tuna akili za kuzaliwa au za kupewa na wazungu?
Welcome home @TheAnswerMMA
You and your family enjoy your new house brother.
Lights are on.
Bills are paid.
Keep your โMy Reasonโ list close, keep taking care of your people and Iโm honored to play a very, very small role in your $7 bucks journey.
$7 bucks.
Iโve been there too.
Got your back brother.
Letโs get to work on that dream of becoming @ufc champion one day ๐ช๐พ
Welcome home ~ DJ
ps - enjoy your Cheetos & alligators ๐ ๐
#hardestworkersintheroom
โ ๏ธToyota Voltz aka Marehemu Mtarajiwa..
Kwanza nianze kwa kukuomba samahani kwa kuliita gari lako pendwa au unalolimiliki Marehemu Mtarajiwa..
.
Ila twende Taratibu tu utaelewa kwa nini nimeipa hilo Jina na kama nitakua nimekosea basi nitavunja Kauli..
.
Kaa vizuri ule vitu..
Darasa Huru,
Lions Mating,
Kupandana kwa Simba,
โTAMU LAKINI INAUMAGAA HIYOO.
Nature ina raha yake aisee,na kwenye nature hakuna kitu kilichoko bila sababu zake za kitaalam.
Nakumbuka wakat niko chuo kuna watu walikuwa wanalipa ada ya mwaka mzima lakini anakuja chuoni ๐๐ฟ๐๐ฟ