@AmRosalinee Ukiona mtu amepost nyumba yake Kuna funzo linalohusu amani na furaha anayoipata mtu kutoka kwenye vitu ambavyo kwako havina maana lakini kwake ni mafanikio yasiyohitaji kubezwa. Mungu anainua watu kwa hatua. Nyumba hii ni ndoto kubwa iliyotimia kimiujiza