Mnamjua MATONYA.?Mnafahamu kisa cha Mkuu wa Mkoa rtd Capt. Yusuf Makamba na Matonya.?Hii vita mpaka Mzee Makamba anaondoka Dar haikuwahi kuwa na Mshindi ๐๐ .Matonya Alikuwa anapandishwa Basi leo anarudishwa Dodoma kesho anakutwa Posta anaendelea na Shughuli yake..