🚨🎙️Vini Junior on the club he will like to join if he’s not able to sign a new contract.
🗣️| Probably that should be Liverpool in the English Premier League. I love to play in front of amazing fans that cheer and support the team for a better result, there’s never a beautiful atmosphere like Anfield, the club’s history and its culture is what makes it special. For me they’re the best club in England with good football and attack in every game.
It’s a first class club in football and every footballer who knows what the club is meant about will love to join them. Liverpool is a special place and the future is unpredictable you never know what happens in the next days.
🚨🎙️Pep Guardiola
🗣️| If I had a player like Mo Salah in my team I would’ve win a lot of champions league over the years. I genuinely trust that, and believe me we were lacking the mentality and such creative talent in the squad.
Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi .
Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media .
Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani .
Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss .
Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all .
Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA
THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE
" The World is Yours "
GEORGE AMBANGILE 🤝
🚨 EXCLUSIVE ✍️
➡️ Simba Sc 🇹🇿 imefikia makubaliano na beki wa kulia Nathaniel Chilambo kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao wa 2026-27.
✅ Pre - Contract already signed.
Mkataba wa Chilambo na Azam Fc unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
Vijana wengi wanapenda biashara za mtandaoni ila hawapo tayari kupitia suffer period.
Washkaji wengi washanifuata niwape mifumo ya kujipatia kipato mtandaoni, anapost siku 2, tatu anaacha. 😂
Mtu anataka apost wiki hiyohiyo apate mteja wiki hiyohiyo. 💔
"CLARITY OF MIND"💽
👉🏽OMAH LAY has never disappointed me in delivering great work,he knows music, and he has a unique taste that sets him apart from others…
This album has the true flavor of music, If you haven’t had the chance to listen to it, try to make room for it in your playlist today.
CRAZY 😳🚨🚨🚨
Kanye West actually rented the Mercedes Stadium for 24 days while working on his DONDA Album.
He was living in the stadium and paying $1 million dollars a day . For 24 days he paid 24 million dollars cash. He lived, recorded and finished the album in the stadium.
DONDA Album turned out to be one of the best HipHop albums ever.
People struggle all their life to get just 100k dollars but Kanye was spending $1m daily. The attention that it brought was finally monetized and he still made crazy and double the money.
To make money you need money .
If someone doesn’t understand the meaning of creativity,...ask them 👉🏽 "Do you know KANYE?"…
If they answer {yes}, tell them 👇🏽
"KANYE is creativity, and creativity is KANYE"
Alisoma degree ya General Engineering akajiunga na jeshi la USA akawa rubani. Akasoma Masters 3 tofauti kisha akajiunga na shirika la anga la NASA. Leo hii Victor Glover ni Pilot wa Artemis II, chombo kinachoenda kuuzunguka mwezi. Tena amekuwa mtu wakwanza mweusi kufanya hivyo.
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 ||MO DEWJI ameandika barua kwenda Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Simba kuomba Kujenga uwanja eneo la Bunju ambao ataumiliki yeye kwa asilimia 80% na Klabu ya Simba itakuwa na umiliki wa asilimia 20%.
Kwa mujibu wa makubaliano ya mkataba kati ya Klabu ya Simba na Mzabuni wa jezi za Klabu ya Simba yeye anawajibika kuwajengea uwanja Simba SC na uwanja huo utamilikiwa na Simba SC kwa asilimia 100%.
Wakati MO DEWJI anaiandikia barua Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Simba Ikumbukwe kuwa sheria ya baraza la michezo inataka uwekezaji wowote kwenye klabu ambazo zinamilikiwa na wanachama usivuke 49% kwa 51% za Wanachama.
Baada ya Katiba Mpya ya Simba SC kukabidhiwa kwa viongozi wake na Msajili mkuu zoezi linalopaswa kufanyika ni kufanya tathmini (Valuation) ya mali za Klabu ya Simba kama walivyoelekezwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kabla ya kufanya uwekezaji wowote.
🚨 SIMBA inaendelea kufanya usajili wa Ligi Kuu kimyakimya ili kuhakikisha inapunguza presha wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa. Chanzo changu kimefunguka kuwa uongozi wao unataka hadi fainali za Kombe la Dunia zitakapoanza basi wawe wameshamalizana na suala la usajili.
👉🏼 Simba inataka kusajili mshambuliaji mmoja kutoka nje, lakini itamrudisha kiungo wao Saleh Karabaka ambaye anacheza JKT Tanzania kwa mkopo huku.
We are pleased to announce the appointment of Roberto De Zerbi as our new Men’s Head Coach on a long-term contract, subject to work permit.
🔗 https://t.co/DtXe0YJSlr
Umenunua kiwanja 10M
Umejenga vyumba 10 kwa 70M
Jumla 80M
Chumba 40,000
Wapangaji wanakuchangia 400,000 Kila mwezi
Sawa na 4.8M kwa mwaka
Itachukua miaka 17 kurudisha million 80
Itachukua miaka 34 kupata profit (2x)
Au wewe una maoni gani?