@Positivenga1 Sikutegemea mtu km ww kuongea utopolo km huu et kwa kuwa ww ulikutwa na hali fulani unataka kutuaminisha kwamba hiyo ndio principle for every one, km ni kamari haya maisha yote ni kamari place your stake according to yourself , ww yamekushinda wacha wacha wengine wafanye