Youth Employment Initiatives Dar es salaam is part of EA larger program that aim at advocate for an increased & improved job opportunities for youth in Tanzania
#TYVAVijana In collaboration with @OneYoungAfrica is conducting a regional analysis across East Africa to map out young people's experiences and innovations in struggles against combating corruption which will happen on Thursday 29th July 2021 2:00pm
Link: https://t.co/Qw7NysGx9B
Mwisho, tulipata fursa adhwimu ya Kukutana na Naibu Wazir O.W.M anaeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira MH. Patrobas Katambi na kufanya mazungumzo ya kiujana (Youthly Talk) kuhusu Maendeleo na Changamoto za Vijana Nchini.
Ilikuwa wakati bora sana kwa #VijanaMakini#VijanaNaBajeti21
Kabla ya Kikao hiko, #VijanaMakini walipata Fursa ya kutembele na Kujionea Shughuli za Bunge Tukufu la JMT Mkutano wa 12 kwa Mwaliko Maalumu Kutoka Kwa Wabunge Vijana sambamba na kujifunza Mambo Mbalimbali.
#VijanaNaBajeti2021
Wabunge Mbalimbali Vijana na kutoka katika Kamati za Kudumu za Bunge waliweza kuhudhuria na Kusikiliza, kuchangia na kushauri na kuahidi kubeba agenda za Vijana Kibajeti zilizojikita katika Sekta ya Afya na Elimu.
#VijanaNaBajeti21
Pamoja mengine, tuliweza kuwasilisha uchambuzi wetu juu ya Sekta ya Elimu na Afya kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 na kuwasilisha Mahitaji na Vipaumbele ya Vijana vya Bajeti Mwaka wa Fedha 2021/2022 vilivyo thibitishwa na vijana wenyewe katika Mkutano wa 3/5/2021.
#VijanaNaBajeti21
Ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya kibajeti, jana #TYVAVijana imefanya kikao kazi na Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma za Jamii Pamoja na Umoja wa Wabunge Vijana Bungeni.
#VijanaNaBajeti2021
Viongozi vijana wakikutana unajua kuna jambo lenye tija kwa vijana wenzao linapikwa. Ewe kijana, kaa mkao wa kula maana linalofata ni kwaajili yako asilimia mia. #AgendaYaVijana
On Saturday, 1st May 2021, Agenda ya Vijana consortium members from both Mainland and Zanzibar had a meeting at Serena Hotel to cocreate on how best to implement on the 5 years Agenda ya Vijana Program and making sure its an inclusive program for all youth. #AgendaYaVijana
Mkutano huu umewajumuisha pia wadau mbalimbali kutoka Serikalini (OWM-Vijana), Mashirika yasiyo ya Serikali, Wanainchi, Viongozi wa Serikali za Mitaa Pamoja na wadau wengine masuala ya Vijana nchini.
#VijanaNaBajeti2021
Mkutano huu umekutanisha Vijana , Wanawake na watu wenye ulemavu kutoka Kanda ya Kusini, Kaskazini na Kanda ya Kati kujadili na Kuidhinisha Mahitaji na Vipaumbele vya KiBajeti kuelekea Mwaka wa Fedha 2021/2022.
#VijanaNaBajeti2021
#TYVAVijana wapo Mkoani Dodoma leo ikiwa ni Muendelezo wa Mijadala ya KiBajeti kwa kuwaelewesha na kuwafahamisha wanainchi namna ambavyo wanaweza kushiriki na kufahamu michakato ya Bajeti Nchini.
#VijanaNaBajeti2021
Early today TYVA #VijanaMakini conducted a feedback session on SMART Advocacy and M&E to it's members aimed at giving feedback on previous training conducted weeks ago
3/3
Kwa Mawasiliano zaidi ya namna ya kupata bidhaa hizi
Wasiliana na
Arif Noorally Fazel
Head of Resource Mobilization TYVA
0712132883
[email protected]
2/3
Vyote hivi na zaidi vinapatikana kwa oda zikiwa na ufungashaji (package) ya (begi, tshirt, notebook, pen, cup, sticker) na kimoja kimoja kwa bei nafuu ya kizalendo yenye lengo la kupata fedha (fundraise) kwaajili ya maendeleo na ustawi wa Taasisi.
1/3
Habari #VijanaMakini
Kitengo cha Resource Mobilization inatambulisha kwako bidhaa zilizo na chapa ya TYVA kwa lengo la kupata fedha (fundraise).
Bidhaa hizo ni pamoja na;
-Begi
-T-shirt
-Kikombe/Thermos
-Calenda ya TYVA mwaka 2021
-Kalamu
-Bracelet
-Stickers
-Note Book
"Wananchi hususani vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu hawajitokezi katika mikutano ya kijiji kwaajili ya kuwa sehemu ya utoaji wa maoni. Ushiriki umekuwa hafifu kupelekea kutoshirikishwa" @IRIglobal@IRI_Africa@USAID@USAIDTanzania#UmojaBaadaYaUchaguzi
"Kuna fursa nyingi sana zinajitokeza baada ya uchaguzi lakini wananchi hususani vijana wamekuwa wamepoa sana, hawachangamkii fursa. SIDO wamekuwa wakitoa mafunzo kwa vitendo lakini bado vijana hawajitokezi"
@IRI_Africa@IRIglobal@USAIDTanzania@USAID#UmojaBaadaYaUchaguzi
2/2
Pia kuishukuru asasi ys TYVA kwa kujitoa katika utoaji wa elimu ya mpiga kura katika makundi ya vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu.
#UmojaBaadaYaUchaguzi