Mkutano wa wadau wa maendeleo wa mradi wa #IDIEP uliwaleta pamoja wadau kutoka makundi yote ya kijamii kujadili #MaendeleoShirikishi ikiwa ni moja ya namna ya kujifunza kwa pamoja na kubadilishana uzoefu mkoani Tanga
Mapendekezo ya Vijana kwa Tume na Waziri @ridhiwankikwete ;
Kuwa na vijana wenye stadi, ujuzi, na ujasiriamali wa hali ya juu, ambapo angalau asilimia 50 ya vijana wamewezeshwa kiuchumi, kiteknolojia, kupitia programu maalum za elimu, mafunzo ya kiufundi,
“ #AgendayaVijana2050
Dira kwenye eneo la kilimo ,mifugo ,uvuvi misitu na mazao yatokanayo na hvyo haijaongelea chochote kuhusu huduma za ugani (extension servives ).Huduma za ugani zinajumuisha msaada wa kitalam kwa wakulima na wajasiriamali katika sekta hizo. #Vijananarasimuyadirayataifa2050
#DYK that #SustainableLivestock production can mitigate the impact of #climatechange?
Improved animal welfare reduces the risk of animal diseases and antimicrobial use, benefitting both humans & animals. 🌍💚
Learn more: https://t.co/VLJl3U9EsH
Katika kutekeleza Diplomasia ya Uchumi, leo nimezungumza na wafanyabiashara, viongozi wa siasa na wa kijamii hapa Italia kuhusu fursa nchini Tanzania, mageuzi yanayofanyika kuboresha mazingira ya uwekezaji na matarajio ya Tanzania kwenye Mpango wa Ushirikiano wa Italia na Afrika.
SUA kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo katika Utekelezaji wa Programu ya BBT wanawaarifu Waombaji wa nafasi za ajira za muda kupitia program maalum ya kuendeleza zao la pamba nchini kuwa wanaitwa kwenye usaili.Kwa taarifa zaidi fungua link hapo chini.
https://t.co/R0ZBCWJQRc
All actors, including the government, corporate companies, civil society organizations, and both learning and religious institutions, must invest in preventing violence. Have a glance at what #ActionAidKenya is doing in this regard 👉 https://t.co/x2iWlc8vNh
Asilimia 97 ya vijana
waliotoa maoni wanapendekeza Serikali kuandaa Bajeti
au mfuko maalumu wa kuwezesha vijana kushiriki
kwenye uchaguzi.(Vijana wachambuzi,2023) #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi