Ushiriki wa vijana katika siasa usiishie uchaguzi, bali uwe sehemu ya maamuzi na mijadala ya kila siku.
Wakili Yusuph Rajab, alipozungumza kwenye wetu wiki iliyopita.
Bofya hapa kusikiliza zaidi: https://t.co/3ZaRVHpTkW
#ElimikaWikiendi#HojaZetu#CivicTech
Peace is strengthened when conversations lead to action, and when more voices have a meaningful place in shaping that action.
The Women, Peace and Security agenda goes beyond recognizing women's role in peacebuilding. It calls for the meaningful participation of women, civil society, young people, and communities in shaping the decisions, partnerships, and solutions that lead to more inclusive and sustainable peace.
๐ฅ Here is what stood out for Hashimu Pondeza, Executive Director of @cyd_zanzibar, following the Tanzania Civil Society Engagement Forum on Women, Peace and Security.
#PeaceDay
Huu ni moja ya mjadala mzuri uliobeba sauti za vijana.
Ukipata nafasi usiache kuusikiliza upo YouTube, Kwa mfululizo wa mijadala hii subscribe https://t.co/sEulh7u1bc
https://t.co/tK9uxC28Aw
Athari za TransFat ni pamoja na kutenga bajeti kubwa kutibu wagonjwa.
Ni muhimu kuweka viwango vya kisheria ili kudhibiti matumizi ya mafuta haya hatari kwenye bidhaa za vyakula. Afya ya jamii yetu ndio uwekezaji mkuu.
#TransFatFreeTZ#TransFatFreeEAC
Peace means building a world where everyone can live with dignity, safety and hope.
On #PeaceDay, we stand with all those working to build a more peaceful and equal world for women and girls everywhere. ๐๏ธ
Zimebaki Siku 4 Kufikia TAWLA Fun Run & Walk 2026
Afya yako ndio furaha yetu. Bado siku 4 tu tukutane pale Round About ya Hospitali ya Aga Khan kuanzia saa 12:00 alfajiri.
Lete familia, marafiki, na wenzako wa kazini tufanye mazoezi, tufurahi, na kujenga afya ya pamoja.
Tag mtu unayetaka kukimbia au kutembea naye siku hiyo kwenye comment. Sisi tunaanza na Mkurugenzi wetu hapa @tiketiko
#TAWLAFunRunWalk2026
#HakiHainaJinsia
For #PeaceDay, weโre looking back at an important conversation: What does meaningful participation in peace and security look like for women? ๐๏ธ
๐น Idil Absiye, UN Women Regional Policy Advisor on WPS, shares her perspective on why advancing the Women, Peace and Security agenda matters.
@unwomenafrica
Peace is built from the ground up. ๐๏ธ
For the Women, Peace and Security agenda to bring meaningful change, women at the grassroots must not only be reached by policies and programmes, their voices, experiences and priorities must help shape them.
Because when women closest to the realities on the ground are heard and meaningfully engaged, peacebuilding becomes more inclusive, responsive and rooted in the needs of communities.
๐ฅ Here is what Nalemuta Moisa of Pastoral Womenโs Council @pastoral_women, shared on the importance of bringing grassroots women into Women, Peace and Security conversations.
#PeaceDay
Ushirikishwaji wa vijana katika mambo yanayowahusu ni hatua muhimu katika kutafuta suluhisho la changamoto zao. - Pirosca Mvanda
Sikiliza zaidi mjadala huu kupitia YouTube channel: https://t.co/3ZaRVHpTkW
#ElimikaWikiendi#HojaZetu#CivicTech#YouthParticipation
Je wajua.
Wanawake hutumia muda mara tatu zaidi kuliko wanaume katika kufanya kazi za malezi na majukumu ya nyumbani yasiyolipwa.
Soma zaidi ripoti ya @unwomentanzania kupitia link hii https://t.co/2Tjf30pv0e
#KizaziChenyeUsawa#GenderEquality