Mwache Akae Ndani @HildaNewton21 Hata Yesu Alipitia Mateso Makali Hata Kisulubiwa Msalabani Hatimaye Siku Ya Tatu Akafufuka Hata Yeye Heshima Yake Huja Na Hilo Jeshi Litampigia Saluti Sana Pole Sana Kwa Neema.
Leo ni siku 11 tangu Jeshi la Polisi limkamate Neema Mwakipesile pamoja na kuwa bado hali yake ni mbaya kiafya lakini bado @tanpol hawataki kumpeleka Hospitali wala haruhusu mtu yoyote kumuona. #FreeNeemaMwakipesile#FreeNeemaMwakipesile
@BabaMwita Polizi hawatumii sheria wanatumia Bunduki ambayo kwa Mara ya mwisho Tanzania ilimwua Akwilina Mtoto Wa Watua Asienahatia Tukubaliane Chadema Haina Mpinzani Zaidi Ya Polisi Na Hawataweza Kama CCM Walivyo Shindwa Mpango Wa Mungu Hauzuiliki Temejifunza Kwa Mh.Lissu
@RealHauleGluck Mungu Hapendi Ujinga Ndo Maana Shetani Alivyo Mwambia Yesu Aruke chini Kutoka Juu Ya Mnara Akamwambia Imeeandikwa Usimjaribu Bwana Mungu Wako Ipo Kwenye Katiba
#TANZANIA: Wakili wa Mhe. Freeman Mbowe (mwenyekiti CHADEMA), Peter Kibatala, amezuiliwa na polisi ili asizungumze na wanahabari baada ya kusikilizwa kwa kesi ya Mbowe katika mahakama ya Kisutu. Baada ya mabishano ya muda, Wakili Kibatala aliruhusiwa kuongea na wanahabari.