Kuwaelimisha wasichana kutambua, kuepuka na kuripoti vitendo vya Ukatili wa Kijinsia mtandaoni ni hatua muhimu ya kuwalinda dhidi ya unyanyasaji
Tuungane kuhakikisha mazingira salama kidijitali yatakayowawezesha kujifunza bila hofu
#ZuiaUkatili#16DaysOfActivism#ElimikaWikiendi
Elimika Wikiendi itaendelea kuhamasisha mazingira salama mtandaoni na kuwaelimisha wanafunzi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ili waweze kujifunza, kubadilishana maarifa na kujilinda dhidi ya ukatili na unyanyasaji mtandaoni.
#ElimikaWikiendi#ZuiaUkatili#DigitalSafetyTz
Utafiti uliofanyika katika shule za sekondari Tanzania ulibaini kuwa 42% ya wanafunzi waliripoti kuwahi kuwanyanyasa wengine mtandaoni, huku 58% wakiripoti kuwahi kufanyiwa unyanyasaji huo.
Kuwapa elimu ni kuwasaidia kujilinda, kuripoti na kutafuta msaada
#ZuiaUkatili
Kwa nini wenza hufikia hatua ya kuuana?
Jumamosi hii kwenye #ElimikaWikiendi, tutajadili sababu za ukatili katika mahusiano, dalili za hatari na namna vijana wanavyoweza kujenga mahusiano salama.
Usikose kufuatilia kuanzia saa 4:00 asubuhi!
Je, ni wakati gani migogoro kwenye mahusiano na ndoa hugeuka ukatili? Ni dalili zipi vijana hawapaswi kupuuza, na tunawezaje kujenga mahusiano salama yenye amani, upendo na heshima?
Oktoba ni mwezi wa kukuza uelewa kuhusu Ukatili Majumbani na Jumamosi hii kwenye #ElimikaWikiendi tunajadili;
“Matukio ya Ukatili na Mauaji Kati ya Wanandoa: Chanzo cha Tatizo na Funzo kwa Vijana katika Kujenga Mahusiano Salama.”
Usikose kufuatilia #LIVE kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, @ElimikaWikiendi.
#ZuiaUkatiliMajumbani #EndDomesticViolence
#MahusianoSalama
Kuwa na uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii haitoshi; unahitaji pia kujua jinsi ya kujilinda!
Usalama Mtandaoni ni kutumia teknolojia kwa uangalifu na kuwasiliana kwa heshima bila kuhatarisha usalama wako au wa wengine.
Hayo yamesemwa na @YusuphKileo, Mtaalamu wa Usalama na Uchunguzi wa Kimtandao, alipokuwa akijadili mada “Vijana Wanaelewa Nini Kuhusu Usalama Mtandaoni?” ndani ya jukwaa la #ElimikaWikiendi Jumamosi iliyopita.
🎥 Fuatilia mjadala mzima hapa X/Twitter🔗 https://t.co/3JTXwrNAsQ… na YouTube 🔗 https://t.co/uGiZV72Mn2
#UsalamaMtandaoni #ZuiaUkatili #EndTFGBV #DigitalSafety #YouthOnline
Kuelekea mjadala wetu jumamosi hii, tumepiga stori na Dorcas Kabona akieleza mambo anayopenda yajadiliwe.
Je, wewe unangepa kusikia nini?
Drop swali lako kwenye comments waelimishaji watajibu.
#ElimikaWikiendi
Ungana nasi Jumamosi hii saa 4:00 asubuhi kwenye #RealTalkShow ya #ElimikaWikiendi tukijadili umri sahihi wa kijana kuanza mahusiano, tukiwaleta pamoja wawakilishi wa vijana na wataalamu wa Afya ya Uzazi na Afya ya Akili.
Maamuzi sahihi kuhusu afya ya uzazi huanza na taarifa sahihi.
Kutana na Onolina, kijana anayetumia sauti yake kuhamasisha taarifa sahihi za Afya ya Uzazi kupitia majukwaa ya kidijitali chini ya Elimika Wikiendi.
IT5 #MgongoMpana
Chagua rangi utayo!
Upana - 80cm
Urefu - 3.00meters (10feet)
Bei - tsh 21,000 kwa pisi Moja.
Usafiri ni Bure popote ulipo, kama upo mkoani pia tunakutumia bila gharama ya usafiri.
0670989862 au 0740989861
Lipa 180487310 (MIX BY YAS)
MUSHI TIMBER EXPORTERS
Ni rahisi kupata mkopo SoftFinance. 💙
Kamilisha vigezo vinavyohitajika, tutakupatia mkopo ndani ya dakika 45.
Tumia fursa hii kukamilisha mipango yako.
📞 0678 000 800 | 0679 000 900
#MpangoPesa
Every girl deserves accurate SRH information and the opportunity to remain in school, regardless of disability.
Through school outreach, we are challenging myths and misconceptions and providing support to address barriers that affect girls’ education and wellbeing.
Get to know the 2026 Digital Advocacy Team 🇹🇿
Meet our 2026 Elimika Digital Advocacy Champions! We are excited to introduce another group of passionate youth advocates who are ready to leverage digital platforms to inspire change.
#ElimikaWikiendi#RealTalk
Get to know the 2026 Digital Advocacy Team!
Meet our 2026 Elimika Digital Advocacy Champions (#GroupOne)! We are so excited to hit the ground running, so make sure to give us a follow so you can keep up with everything we do.
#ElimikaWikiendi#RealTalk#DigitalAdvocacy
SHAPING THE FUTURE OF YOUTH DEVELOPMENT IN 🇹🇿
Elimika Wikiendi was honored to participate in the validation workshop for the President’s Office – Youth Development (PO-YD) Strategic Plan 2026/27–2030/31.