@Zhaongesile2011@fatma_karume Kila mtu atabeeeeeba furushi lake mwenyeeewe siku hiyo itafiiiiiika, tantaraantaaaaa, hicho kipande kwenye kwaya, kina maneno kuntu!!!!
@comanchechiefIV@hugokisima@fatma_karume Mtamani yule ambae ni najis kufanya nae ngono either mama yako na kadhalika, lazima mipaka ya kutofautisha ubinaadam na unyama izingatiwe na kutiliwa nguvu ibaki pahali pake, ushoga kwa ujumla ni jambo la kukemewa kwa nguvu zote!!!💪💪💪💪💪
@fatma_karume@ThabitSenior Haliba mume gumegume, kama yeye msemaji ni mtoa huduma basi si aanze yy kwa kuomba leseni ya ukahaba huko wanako toa leseni ya kupeana uroda ili iwe mfano hai🤣🤣🤣
@tolemongikoro@hakaido2@swahilitimes Kama lukuvi alipo ongea wazi tena kanisani kipindi cha mchakato wa kujadili rasimu ya katiba ya warioba, kua serikali3 zitaleta uislam znz, coz kuna majority ya waislam znz! Udini ni kwa waislam tuu
@jaliluzaid Amlaani babu yake, alie sababisha, watu kuuliwa kiholela na kubakwa ovyo mapinduzi ya 64, Qur'an :imesema atakae uwa nafsi moja bila haki ni sawa ameuwa watu wote. Yeye c anajifanya ana uhuru wa kuongea chochote ajiskiacho!?
@IAMartin_ Blackmail! Atoe fabricated evidence or rot in jail,hii ndio sababu ya mpandikizaji, vizibit ili kubambikia watu kesi! Man wajiddah wajadaa, muosha huwoshwa!!! Mungu hasinzii.