@MariaSTsehai It is so painful to watch that clip.
Hawa wanastaili kunyongwa tena in public.
Wanaosema democrasia imara inatoa viongozi bora. Hii ndo mifano yenyewe
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Ni njaa inayoongizwa na upumbavu tu ndo inayowasumbuaa . Huyo mama yao akishaondoka watarudi na kuanza kumsema.
Tushayaona kwa mwenda zake.
So tuwaache tu maana kipimo bora cha ujinga na upumbavu ni MUDA.