Film editor, Theatre for Development Project activist.
Edutainment. Project Proposal writer and Script writer. #The future of branding is storytelling.
“Wale waliohitimu SUA na vyuo vingine vya kilimo, mifugo na uvuvi wana ajira za uhakika. Tunawapa ardhi wakatelekeze mambo kipaumbele cha kwanza cha Serikali ambacho ni kilimo,” Rais Samia Suluhu.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Francis Michael leo Oktoba 06, 2022 jijini Dodoma amekutana na watumishi wa Makao Makuu wa Wizara hiyo na kuzungumzia masuala mbalimbali ya kiutendaji ikiwa ni utaratibu aliojiwekea ili kuleta ufanisi kazini.
Waziri wa Elimu, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akizindua dirisha la maombi ya Samia Scholarship ambayo inagharamia kwa asilimia 100 masomo ya shahada ya kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika mitihani ya kidato cha sita kwa mwaka 2022 kwa masomo ya sayansi.
"Tumejiridhisha na fedha iliyotumika katika Mradi wa Ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo cha Ualimu Patandi, nimpongeze Mhe. Rais kwa kutoa kipaumbele katika Sekta ya elimu
#Mhe.Stanslaus Nyongo (Mb)
#ZiaraKamatiyaKudumuya BungeyaHudumanamaendeleoyaJamii