@misshuwely@notyoursManka Adhabu ya kubaka ni kifungo cha miaka 30 jela..... ila mkibaka kwa "gang rape" yani mtungo😅, hapo ndo adhabu yake ni kifungo cha maisha.
@notyoursManka@misshuwely Ni kosa ata akibaka mara moja, ila first time offender kidogo adhabu yake inakua lenient..... By the way ni nadra sana kukuta mtoto wa chini ya miaka 18 amebaka.... Issue ikiwa vice versa, yan aliebakwa ikawa ni binti wa chini ya 18, apo mbakaji ni anafungwa maisha.