@makumbawaleo_5n@bajabiri ili wapokee nambari ya NIDA na si copy ya kitambulisho itawapasa wawe na access ya NIDA portal unahisi inawezekana kila mahali kuwepo? Kwako Daktari
@fumbokhanJr@Sirjeff_D Huwezi kuwa serious na proud kwa ufaulu wako kama hata kipimo kilichotumika kukupima wewe na kuibuka kuwa bora kuliko wengine hukijui!!
"Vijana hawahitaji huruma, wanahitaji nafasi. Tuwasaidie kwa elimu, ujuzi na fursa ili wawe suluhisho la matatizo ya dunia, si wahanga wa mazingira yao. #YouthEmpowerment#FursaKwaVijana"
@MarekaMalili Sucession plan ni nzuri na inasaidia mno tatizo lipo kwa wazee kuwaamini vijana wao na pia vijana wengi wamekosa trust kwa wazee hali inayopelekea business kufa mara tu dingi( owner) anapopata ulemavu wa kudumu ama kifo.